AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 591
- Thread starter
-
- #61
Sasa nifanyeje na tayari nimesha haribu kwahiyo sistahili kuishi au kusamehewa na kupewa nafasi ya kurekebisha makosa yangu?AKILI KIJIKO,
Kwanza njia zako zote unazotumia zina makosa,kuanzia kua na wanawake wawili, kutafuta kosa la mtu ili umuache hayo yote ni makosa uliyafanya wewe mwenyewe,sasa watu wakusaidie nini? Yani siku hizi mtu unaomba ushauri watu wakusaidie kutatua dhambi zako? Aisee
'What's goes around must comes back around'Karma ni kitu gani mkuu ufafanuzi kidogo
Jichanganye kdogo tu uingie "KINGI" a.k.a "MKENGE".Bro, umeoa???
Kama bado 'yes I do'..! π
Kajirekebishe kwa MUNGU siyo kwetu. Watu watakusaidia nini sasa kwa dhambi zako,wanaume tukifanyaga makosa juu ya mambo haya tunayamalizaga kiume sisi wenyewe,kweni hukuumbiwa hekima na akili? Hili husaidiwi na watu,ni wewe mwenyewe.Sasa nifanyeje na tayari nimesha haribu kwahiyo sistahili kuishi au kusamehewa na kupewa nafasi ya kurekebisha makosa yangu?
Hakikisha wanajuana au wagonganishe pamoja atakae kusamee huyo ndio mke anaweza kuvumilia makosa yako na kukuheshimuHabari gani Watanzania wenzangu.
Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja ananipenda sana.
Kwakweli nimefanikiwa kuishi nao bila wao kujua kama ninawachanganya; nimedumu nao kwa miaka miwili sasa, na wote wananiamini sana na kila mmoja anaamini nitamuoa.
Sasa umefika wakati ambapo natakiwa nianze harakati za kuoa kama kumtambulisha mchumba kwa wazazi na kumchumbia. Napata wakati mgumu nimuache yupi na nimuoe yupi; wote ni wema sana kwangu na nakosa hata sababu ya ku-force ili nimuache mmoja
Wote ni wapole; nimesubiri mmoja anikosee nimuache lakini wapi, na ninapoelekea nakarbia kubambwa kwa ujinga niliowafanyia. Sasa nitumie kigezo gani kumuacha mmoja nibaki na mmoja nimuoe?
Naombeni msaada au nitumie kigezo gani ambao nitapata sababu ya kumuacha mmoja wao maana naona naaibika sio mda mrefuu.
π π π πnacheka lakini naumia
Haha..!Jichanganye kdogo tu uingie "KINGI" a.k.a "MKENGE".
Trap hii..oohhoh!!!
π πSis naona umetumia fursa ipasavyoπ
Ndiyo, bado wapo ila kukutana nao ndiyo mtihani..!Huyo jamΓ a hata Mimi nimempigia saluti natamani ningekuwa na hata robo ya hekima zake. Kumbe wema wapo bado duniani aisee
Habari gani Watanzania wenzangu.
Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja ananipenda sana.
Kwakweli nimefanikiwa kuishi nao bila wao kujua kama ninawachanganya; nimedumu nao kwa miaka miwili sasa, na wote wananiamini sana na kila mmoja anaamini nitamuoa.
Sasa umefika wakati ambapo natakiwa nianze harakati za kuoa kama kumtambulisha mchumba kwa wazazi na kumchumbia. Napata wakati mgumu nimuache yupi na nimuoe yupi; wote ni wema sana kwangu na nakosa hata sababu ya ku-force ili nimuache mmoja
Wote ni wapole; nimesubiri mmoja anikosee nimuache lakini wapi, na ninapoelekea nakarbia kubambwa kwa ujinga niliowafanyia. Sasa nitumie kigezo gani kumuacha mmoja nibaki na mmoja nimuoe?
Naombeni msaada au nitumie kigezo gani ambao nitapata sababu ya kumuacha mmoja wao maana naona naaibika sio mda mrefuu.
Na ndio mana am watching ur steps n alert u.Naogopa lawamaHaha..!
Uliahidi utakuwa hapa ukinitetea lakini.!
Lawama zitakuwa juu yako.!!
Ndo hapo sasa, em changamka. Kama vipi zama PM sis ake, maana huku anaweza asione comment yako mapemaπππ π
Fursa ikinipita nitamlaumu nani??
ππOna ukatili wa wanaume
Ushauri mubovu huu asijaribu awaache kimya, wewe ungefanyiwa hvo ungefurahi. Hapo hawapendi wote, aachanr nao in peace Kuna Leo na kesho, angekuwa muoaji asingejifikiria hvo. Hafu mtu kukaa kimya haimaanishi kakusamehe wanawake hulipiza ndoani wakati umezamaHakikisha wanajuana au wagonganishe pamoja atakae kusamee huyo ndio mke anaweza kuvumilia makosa yako na kukuheshimu
Hafu wenzie nao wapo kumjaza mashudu tu.
Unapotoa ushaur kuna namna mbili kuukataa au kuukubali huu ushaur ni mbovu kwako kwangu ndio nimeona uko vrUshauri mubovu huu asijaribu awaache kimya, wewe ungefanyiwa hvo ungefurahi. Hapo hawapendi wote, aachanr nao in peace Kuna Leo na kesho, angekuwa muoaji asingejifikiria hvo. Hafu mtu kukaa kimya haimaanishi kakusamehe wanawake hulipiza ndoani wakati umezama