Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Waache wote I'm sure watakubamba itakuwa aibu na utaachwa, Sasa from there utapata series za matukio na utakayemuoa atakuwa pasua kichwa. Sijui kwanini wanaume huwa hamsemi ukweli mpaka muumize wengine. Remember karma is a bitch.
...hell is a sister [emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
nipe namba zao mimi nimshaauri wa masuala ya ndoa nataka niwabariki na kuwapatia upako
 
Nipe namba ya mmoja tuchonge mchongo wa kumfumania upate sababu ya kumwacha kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…