Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Dah umeongea vyema mpaka raha...Amefanya upuuzi sana yani.
The Most Winner
 
Wote waache tu, hawafai kuolewa na ww. Tafuta msichana mwingine kabisa ndiyo umuoe. Hao ulioishi nao pamoja mpk ukashindwa kuchagua yupi umuoe, wote wakose tu. Sio vizuri kabisa, kabisa, ulichokitenda.
The Most Winner
 
Oa wote, ndoa ya mke zaidi ya m'moja inakubalika kabisa kwa tamaduni zetu za kiafrika..... Uweze tu kuwatunza
 
Watumie ujumbe wa sms kwenye simu wa kufanana,kuwa kuna mwanamke ulishiriki naye tendo,amepata ujauzito.Hivyo utamuoa.Alafu uone reaction zao.Kichwa cha panzi utamtambua mapema,hapo itakupa nafasi ya kubaini mwanamke wa kumuoa.
Kwa wanaume kuwa na mwanamke zaidi ya moja si ajabu,
AKILI KIJIKO
 
Kwanza nikajiuliza inakuwaje unawaza kumuacha mmoja na mwingine umuowe ? Hapa naweka akiba ya maneno sijijajua umewaza hivyo kwa msingi imani yako au hujui au unachelea nini ? Lakini ungekuwa wewe ni wa Imani yangu, ulitakiwa au unatakiwa ufanye hili,muoe mmoja kati yao kwanza kisha baada ya fungate una muoa mwingine au baada ya kitambo fulani, yatakayo fata yatakuwa rahisi sana. Huu utakuwa wema mkubwa umewafanyia mabinti hao.

Mtoto wa kiume unawazaje kuacha wanawake ulio wapenda ?

Ila huu utoto ulio ufanya unatakiwa uujutie na uupige vita hata kwa wengine wanao fanya michezo kama hii.
 
Ni kweli lakini mbona hicho kitendawili jibu lake jepesi Sana...atumie uwanaume wake Kwenye kufanya maamuzi Kama hayo kwamaana atumie akili zaidi (kichwa cha juu) kuliko hisia (kichwa cha chini).

Labda awe amelishwa ndumba na hao mademu....
Mkuu, neno pekee ninaloweza sema kwako ni....
Omba Mungu akusaidie sana
 
Salute
 
Reactions: Pep

Sasa kingereza cha njnj wakati mtoa mada kaandika kwa kiswahili yani mnaboa kwa huu ujuaji
 
Ambaye atakua tayari kukupa chochote au uliyemkuta bikra.
 
Mkuu, neno pekee ninaloweza sema kwako ni....
Omba Mungu akusaidie sana
Wadau wengi humu wanaichukulia kama suala la kawaida ila linapokukuta utatamani ingekua ni ndoto ili uamke iishe.
 
Mkuu, neno pekee ninaloweza sema kwako ni....
Omba Mungu akusaidie sana
Wadau wengi humu wanachukulia kama suala la kawaida ila linapokukuta utatamani ingekua ni ndoto ili uamke iishe.
 
Gonganisha cheche, afu reaction yao. Yule atakayezila na kuondoka huyo kajitoa kwenye ligi una baki na mmoja. Atakaye baki ataweza kustahimili mikiki ndani ya ndoa na kubeba mapungufu yako na changamoto zako. Kipimo ni changamoto. Hii ni changamoto ya kwanza. Na atakaye baki unamwambia huo ndo ulikuwa mtihani wako. Then you have passed and your my wife.

Ushauri wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…