Hahahahaaahaa..π€£π€£π€£ nitakua nimebeba nguo ya emergency hyo siku, mambo yakibuma tunaingia chemba unachange basi tunatoka zetu tunaenda mahala kula nyama kama sio sisi vile. Kwani sh ngapiππ
Duuuh, rungu zito sana hiliIn the first place you are just a selfish nigga
You are such an idiot that you are playing with two of them.
You should not marry any of them as you do not deserve them, Donβt you feel anytime that you are cheating on them.
Donβt You have your self respect?
How can you do such shit and without guilt you are roaming around?
Have you ever thought of how will their lives become once they come to know that you are cheating on them. Do you realize just because of people like you, most women have lost trust in the relationships. Do you realize how shit can it be?
Do you even think just for once for being such a jerk?
I just wish you donβt see your daughter crying for the same reason once she grows up. I wish your daughter doesnβt fall for someone like you.
Just remember KARMA is there! Whatever you do will come round to you only. No one else is going to pay for your sins!
And for god sake, leave those two girls. They deserve much better human being who doesnβt lie to himself atleast in front of the mirror.
God knows how you look at yourself.
π π π πlakini isipofika altareni si unajua nina first aid kit na leso za kutosha. Ila a shoulder to lean on ndo sina yaani itabidi nkutumie package ufanye self service π
Kosa lilikuwa langu mkuu, na mbaya niliwagonganisha zaidi ya watatu na kisha wakaanza kugombana wao.Hahaaa ulifanya vibaya wallah had picture zao hafu nyie wote umri wa maveterani.
ewaaaaa.......Haha.
Exactly, na hili kombe tutalipambania mpaka tone la mwisho la uhai.!
'fita ni fita muraa'..!
Nyie viumbe huwa mnajichumia dhambi Bora had picha za uchi wa mama wa watu wazima vile na watoto, nawao walikosea kugombana wao kwa wao wallah. Wangetakiwa tu waachie ngazi kimya kimya hvo vitu hutokea Ila kudhalilishana vibaya mno, ningekuwa Mimi hata nisingetaka msamaha naku delete duniani na kuzima.Kosa lilikuwa langu mkuu, na mbaya niliwagonganisha zaidi ya watatu na kisha wakaanza kugombana wao.
Lakini mwisho wa siku nilijutia na kuwaomba radhi kwa kitendo kile aiseee.....
Kweli nilitenda kosa, lakini usisahau kwamba nami ni binadamu mkuu.
Haha.usijali tutakuwa kama wake wa Dr mwaka
Huwez pata tabu akati me nipo, hzo situation naweza zihandle vizuri tuHahahahaaahaa..
Hii ni 'breeeeee' kabisaaa.!!
Natakiwa nikuweke kwenye kamati yangu inayohusika na disasters unafaa kabisa kuwa solution provider, game changer and the fixer..!
mimi sitakupa nafasi ya kuona wivu darlingHaha.
Mungu wangu.! mimi nina wivu mpaka machozi yanatiririka tu yenyewe nikiwaza kushea..
Hapa ni unakiri na kujutia ama unaongezea taarifa nyama mkuu.!?Kosa lilikuwa langu mkuu, na mbaya niliwagonganisha zaidi ya watatu na kisha wakaanza kugombana wao.
Lakini mwisho wa siku nilijutia na kuwaomba radhi kwa kitendo kile aiseee.....
Kweli nilitenda kosa, lakini usisahau kwamba nami ni binadamu mkuu.
Sasa ukiwa na mtu wa hivi Mungu akupe zawadi gani tena? Wewe tayari ni resource muhimu kama nyara za serikali.Huwez pata tabu akati me nipo, hzo situation naweza zihandle vizuri tu
Mkuu, kosa langu lilikuwa kuwagonganisha na ndio ninajutia.Nyie viumbe huwa mnajichumia dhambi Bora had picha za uchi wa mama wa watu wazima vile na watoto, nawao walikosea kugombana wao kwa wao wallah. Wangetakiwa tu waachie ngazi kimya kimya hvo vitu hutokea Ila kudhalilishana vibaya mno, ningekuwa Mimi hata nisingetaka msamaha naku delete duniani na kuzima.
Niliwahurumia Sana wale wadada aisee.
Walaqhi'..!mimi sitakupa nafasi ya kuona wivu darling
hahaaaa wewe sio wa kunitamkia maneno hayo ila Hakika aibu haitokukuta maana umeamua kukamata fursa ya mjentlomani Pep ila tu namshtua mapema kwenye zile tabia zako za kuwaweka watu friend zone ππ π π π
Katika watu ambao ninaomba aibu yangu isiwakute mbele yao ni wewe, kuna watu ni teasers wa kujificha ila wewe unaweza nichamba hata ukumbini kabisa.!!
sasa hili n trela tuu utamu wenyewe unakujaWalaqhi'..!
Uke wenza ndiyo mtamu hivii??
Huu uzi umenikumbusha mbali sana mkuu. Nikiwahi kufanya kosa kama hiliHapa ni unakiri na kujutia ama unaongezea taarifa nyama mkuu.!?
Ila nilichojifunza wanaume Kuna vitu huwa hamkui aiseeHuu uzi umenikumbusha mbali sana mkuu. Nikiwahi kufanya kosa kama hili
Best of luck in ur life
Huyo jamaa mleta uzi ndio inabid a apologizeNadhani nimekua too emotional, nime apologize tayari