Umepotea hapa ni MMU. Kamuone mtaalam wa magonjwa ya akili.
Kama unafanya maamuzi magumu na sahihi si ndo vizuri?
Au unataka mawazo yatakayokufanya ufanye maamuzi rahisi ambayo sio sahihi?
acha uoga bhana,
bila shaka atakua anapena mteremko huyuNimeshindwa kumuelewa
Umepotea hapa ni MMU. Kamuone mtaalam wa magonjwa ya akili.
Kuna maamuzi sahihi lakini yanaumiza kwa mfano umependa ambapo unaona sio mtu sahihi na unaachana nae kwakuwa umeona sipo sahihi kakini unampenda kwelibila shaka atakua anapena mteremko huyu
Kweli tena na imeniumiza hadi nimeiandikaKama unafanya maamuzi magumu na sahihi si ndo vizuri?
Au unataka mawazo yatakayokufanya ufanye maamuzi rahisi ambayo sio sahihi?
acha uoga bhana,
W
Kweli tena na imeniumiza hadi nimeiandika
Kuna maamuzi sahihi lakini yanaumiza kwa mfano umependa ambapo unaona sio mtu sahihi na unaachana nae kwakuwa umeona sipo sahihi kakini unampenda kweli