Nisaidieni mawazo ndugu zangu

Nisaidieni mawazo ndugu zangu

Mtoto yupo kwa shangazi yake huko, sijui tu ni kwanini moyo wangu hautaki kuzoea [emoji22]
Jitahidi kufanya mazoezi na pia kufanya vitu vitavyo kuweka busy inasaidia kumsahau mkuu
Gheto vip bado kuna viashiria vyovyote vinavyoweza kukufanya umkumbuke?
 
Jitahidi kufanya mazoezi na pia kufanya vitu vitavyo kuweka busy inasaidia kumsahau mkuu
Gheto vip bado kuna viashiria vyovyote vinavyoweza kukufanya umkumbuke?
Hapana, hamna hata kimoja labda picha zake katika pc tu, huwa nikikutana nae Facebook kwa bahati mbaya huwa najisikia vibaya sana, nafikiria kumblock tu
 
Hapana, hamna hata kimoja labda picha zake katika pc tu, huwa nikikutana nae Facebook kwa bahati mbaya huwa najisikia vibaya sana, nafikiria kumblock tu
Najua kuna mda unakaa kuzipitia hizo picha na kukumbuka moment mlizo kuwa nae inabidi ufanye maamuzi magum ya kuzifuta hizo picha for your own health la hasha utakuwa ni mtu wa mawazo tu kila siku na fb pia unaweza mblock kama unamaanisha kumpoteza kwenye akili yako
 
Sawa nashukuru
 
Nilikua na mwanamke niliemuoa na nilikua nampenda kupita kiasi, ila tumeachana miaka miwili iliyopita baada ya kuhisi eti ninatembea na rafiki yake, kiukweli sikua kabisa na uhusiano na rafiki yake na alipochukua maamuzi ya kunisubiri nitoke nyumbani kisha asombe kila kitu ndani na kuondoka, iliniuma sana nilikonda sana kwa sababu nilikua nampenda mke wangu kupita maelezo, nilijitahidi sana kumshawishi arudi tuendeleze maisha lakini cha kustaajabisha wazazi wake walimpeleka kumsomesha hotel management huko Dar es Salaam bila hata kunitaarifu na sasa hivi anafanya kazi hoteli ya kitalii huko Zanzibar, ilinichukua muda mrefu sana kumuondoa kichwani na ilibidi nikapate msaada wa daktari ambae aliniandika anti depressants nikatumia kwa miezi sita angalau nikaanza kuzoea hali halisi kwamba sipo na mke wangu anymore, msaada ninaowaomba mnisaidie ni kwamba, kwann nikiona kila kitu kinachomuhusu yeye moyo unanilipuka na kuanza kwenda mbio? Kila kitu mpaka mtoto wetu nikimuangalia namuwaza sana mama yake, sijaingia tena ktk uhusiano kwani ninaogopa sana kwa sasa, nishaurini nifanyeje niwe angalau namuona wa kawaida na moyo usiniende mbio kiasi hiki.
Pole sana ila kama hamjapeana talaka yule bado ni mkeo, kama talaka anayo Bas oa mwingine huko. Moyo kulipuka ni kwa kua ulimpenda sana ambayo ni wanaume wachache wanapenda hivyoo kama hajapata talaka na badae akirud bado ni mkeo, ila je uliwah kufanya jitihada zozote zakumrudisha kwa kipind hicho cha miaka miwili ikashindikana??
 
Asante, yaan sijui ndio kupenda kwa namna gani huku jamani hata sijielewi, naogopa sana kuingia katika mahusiano kwa sasa nahisi kama kakidonda bado kapo moyoni [emoji22]
Pole, ila huyo alikuchoka tu hiyo haikua sababu
 
Tatizo unapenda mno ck hiz hatupend hivyo siku hiz tunapenda nusu nusu sababu ukijiingiza mzima mzima ndio hivyo unatesekaa
 
Pole sana... unampenda sana ndiyo tatizo... tatizo halipo moyoni mwako, lipo kichwani...
 
Pole sana ila kama hamjapeana talaka yule bado ni mkeo, kama talaka anayo Bas oa mwingine huko. Moyo kulipuka ni kwa kua ulimpenda sana ambayo ni wanaume wachache wanapenda hivyoo kama hajapata talaka na badae akirud bado ni mkeo, ila je uliwah kufanya jitihada zozote zakumrudisha kwa kipind hicho cha miaka miwili ikashindikana??
Hapana sijampa talaka bado, nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kumshawishi arudi akakubali ila kikwazo kikawa kwa wazazi wake walinitaka niende nikamchukue mwenyewe, sasa wakati najipanga nikamchukue mara ghafla nasikia tayari yupo Dar alienda kusomeshwa na wazazi wake 'eti' baada ya kuona nachelewa kwenda kumchukua mke wangu [emoji17]
 
Tatizo unapenda mno ck hiz hatupend hivyo siku hiz tunapenda nusu nusu sababu ukijiingiza mzima mzima ndio hivyo unatesekaa
Dah itabidi nijiangalie wakati huu nisije kukosea tena
 
Back
Top Bottom