Nisaidieni mawazo juu ya huyu mke wa mtu

Duh! umemuachia akuzoweeeee hivyo? kwanza kazini kucheka cheka na utani waajabu kama huo haufai,mrudishie hayo mashaka yake mwambie ahsante sana kwa zawadi yako,na punguza ukaribu kuoshewa vikombe na visahani iwe mwisho,
kua na hadhi yakiume usiwe kama arage la Mbeya...
 
hata inzi hufia kwenye kidonda hebu kula hiyoooooo!! Naomba wana JMF mjifunze kutoka hapa suara la kulizishana linachukua nafasi kubwa sana katika mapenzi hebu angalia huyu mwanamke anajitahidi kwa kila hali apate mtu wa kumlizisha ,amelala na mumewe halafu anamuota jamaa mwingine so wewe kama mke au mme wa mtu unapoingia katika suara hilo hebu jitahidi mpaka hapo huyo baba yupo katika hatari ya kupata ukimwi [MKE WA MTU SUMU,MMEWA MTU SUMU]
Mkuu sikubaliani na wewe, anauhakika gani kwamba mimi au mwanamme mwingine yeyote ndio ntamlizisha?
 
Toka nimehamia Kampuni hii sijamaliza hata miezi mitatu jamani lakini huyu mdada/mmama naona anataka kuniangusha kinguvu sasa.

Inawezekana makosa niliyafanya mimi mwanzoni, lakini ilivyokuwa ni kwamba, kama kawaida kwenye maofisi mengi huduma za chai jikoni kila mtu anajiservia na kusafisha kikombe mwenyewe, mimi the first day nimefika kiutani tu, tukiwa jikoni wengi nikasema hili swala la kusafisha kikombe wakati nyumbani nasafishiwa sintaliweza, ikaibua mjadala kidogo pale nikajua yameisha.

Baada ya kama wiki hivi huyu mdada, akanifuata ofisini kwamba amejia kikombe akasifishe, nikamuambia asante kwanza sijamaliza kunywa chai, nikajua yameisha, baada ya nusu saa akarudi tena akakichukua na kuniambia kama sijali atakuwa ananiservia kabisa nikajichekeshachekesha nikijua ni utani tu. Kosa, mdada alikuwa serious toka siku hiyo naserviwa chai na kusafishiwa kikombe na tayari wadada wengine hapa wamekwishaanza vicheko vicheko vya kijinga.

Kosa la msingi ni siku nilipomkuta getini anachekacheka nawalinzi lunch time, on her way out, nikaomba kumtoa lunch akakubali, nayo ikazua tabia, sasa hata lunch lazima twende wote, ikafikia hatua Mkurugenzi akaniambia, "Kiongozi Mke wa mtu huyo, kama uko interested usijifungie ofisini wako mabinti walembo sana humu ndani bwana jitahidi kuzunguka kidogo" nikajua hii issue sasa inaelekea kubaya.

Siku moja akaanzisha story za kifamilia na katikati akaniambia mme wake hamridhishi, nikatoa ushauri wa nini afanye huku nikichagua maneno kwa uangalifu mkubwa sana, kesho yake asubuhi aliponiletea chai, akaniambia ushauri wangu haukusaidia kitu, nikamshauri asikate tamaa, sasa ikawa kila siku naletewa malalamiko silidhishwi silidhishwi, ghafla ijumaa iliyopota asubuhi na mapema ananiambia ameota tumedo, na amefurahi sana, na alipoamka alikuta kujichafua, moyoni nikajua hapa mimba ya uovu imeishashika. leo mchana huu tumetoka kula lunch, tulikuwa wengi kidogo, kanifuata ofisini kanipa kimfuko ananiambia zawadi yangu, kabla sijaandika post hii, nimekiangalia ndani nimekuta chupi na kondomu.hapa nimepandwa na kiwewe.

Nisaidieni maombi jamani.

Mlishonyuma: Naona jana ilikuwa turning point, leo sijaletewa chai, na sijamuona, ila yupo.
 
ndugu achana na huyo mke wa mtu. utaliwa tigo kama ukijaribu kudo nae.

nikupe kisa cha mfanyakazi mwezangu hapa kampuni ya bia......, siku hizi kuna watu ukila mke wake anawatafta mabaunsa wanakushikisha ukuta alaf during the process wanachukua simu yako na kuwapigia namba za watu wa kazini kwako pamoja na mkeo <kama unaye> na kukulazimisha uwambie kuwa unaliwa tigo muda huo.

basi jamaa wakachukua jina liliseviwa boss, utility manager, supervisor na mkewe...., wakapiga na kumwambia awambie kuwa analiwa tigo,.... na ilikuwa mida ya saa 6 usiku. basi kesho yake jamaa kwanza kaja job amechelewa na kuanza kujitetea kwa watu aliowapigia kuwa alikuwa anawatania....

lakin siri ilivuja tukainyaka...... saiv full mi-aibu kila kona.

mke wa mtu sumu kaka.....
hii ilimtokea jamaa yangu ila yeye alikiri kanyonya tu ukuni but hajaliwa tigo......
 
Kaka kimbia, usithubutu kumkosea aliekuumba, zinaa ni deni na malipo yake ni kwa dada, mke, watoto wako mwenyewe ndio watakao lipa deni hilo.
 
Mwaya wewe ndio kidume cha mbegu; umebarikiwa kuliko wanaume wote. Kula kwa raha zako, tena condom itakipunguzia utamu. Pika peku kijana, nani anauhakika na kesho?

Halafu mmama kakuomba mwenyewe, asije akakudharau bure!

We Kaunga ushauri gani huu? Mumeo akitendewa hivi utafurahi?
 
Mpotezee kiongozi , huyo mke wa mtu nahisi ndoa imemshinda, kuwa makini sana si jambo jema kwa allah hata kwa kibinadamu pia..mpotezee kwani ulizaliwa nae, jifanye mikausho mikali kwenda mbele.
 
Toka nimehamia Kampuni hii sijamaliza hata miezi mitatu jamani lakini huyu mdada/mmama naona anataka kuniangusha kinguvu sasa.

Inawezekana makosa niliyafanya mimi mwanzoni, lakini ilivyokuwa ni kwamba, kama kawaida kwenye maofisi mengi huduma za chai jikoni kila mtu anajiservia na kusafisha kikombe mwenyewe, mimi the first day nimefika kiutani tu, tukiwa jikoni wengi nikasema hili swala la kusafisha kikombe wakati nyumbani nasafishiwa sintaliweza, ikaibua mjadala kidogo pale nikajua yameisha.

Baada ya kama wiki hivi huyu mdada, akanifuata ofisini kwamba amejia kikombe akasifishe, nikamuambia asante kwanza sijamaliza kunywa chai, nikajua yameisha, baada ya nusu saa akarudi tena akakichukua na kuniambia kama sijali atakuwa ananiservia kabisa nikajichekeshachekesha nikijua ni utani tu. Kosa, mdada alikuwa serious toka siku hiyo naserviwa chai na kusafishiwa kikombe na tayari wadada wengine hapa wamekwishaanza vicheko vicheko vya kijinga.

Kosa la msingi ni siku nilipomkuta getini anachekacheka nawalinzi lunch time, on her way out, nikaomba kumtoa lunch akakubali, nayo ikazua tabia, sasa hata lunch lazima twende wote, ikafikia hatua Mkurugenzi akaniambia, "Kiongozi Mke wa mtu huyo, kama uko interested usijifungie ofisini wako mabinti walembo sana humu ndani bwana jitahidi kuzunguka kidogo" nikajua hii issue sasa inaelekea kubaya.

Siku moja akaanzisha story za kifamilia na katikati akaniambia mme wake hamridhishi, nikatoa ushauri wa nini afanye huku nikichagua maneno kwa uangalifu mkubwa sana, kesho yake asubuhi aliponiletea chai, akaniambia ushauri wangu haukusaidia kitu, nikamshauri asikate tamaa, sasa ikawa kila siku naletewa malalamiko silidhishwi silidhishwi, ghafla ijumaa iliyopota asubuhi na mapema ananiambia ameota tumedo, na amefurahi sana, na alipoamka alikuta kujichafua, moyoni nikajua hapa mimba ya uovu imeishashika. leo mchana huu tumetoka kula lunch, tulikuwa wengi kidogo, kanifuata ofisini kanipa kimfuko ananiambia zawadi yangu, kabla sijaandika post hii, nimekiangalia ndani nimekuta chupi na kondomu.hapa nimepandwa na kiwewe.

Nisaidieni maombi jamani.

Mlishonyuma: Leo sijaletewa chai (japo nilijihami nimekuja nayo toka home); na sijamuona, ila yupo.

Hebu fikiria mtu unampa ushauri, halafu asubuhi mkionana anakuambia imeshindikana!

Halafu, toka lini wanawake wanajichafua wanapoota wame-do? naomba kuelimishwa. Vinginevyo umekutana na mwongo na inawezekana unadanganywa sana.

hahisi kuna kauongo yako.
 
I remember alisema alijikuta ameloana, nyie mnajijua zaidi, hope we ni mwanamke.of course initiative yake yote ya kutaka tuingiliane ni uongo wa mapenzi. sooooo uko sawa.
 
Mwaya wewe ndio kidume cha mbegu; umebarikiwa kuliko wanaume wote. Kula kwa raha zako, tena condom itakipunguzia utamu. Pika peku kijana, nani anauhakika na kesho?

Halafu mmama kakuomba mwenyewe, asije akakudharau bure!

nahisi we umemuelewa better kuliko sisi lol
 
Nipo mwanangu cacico bana!, uliyenyonya ziwa la mke wangu, ambalo mimi baba yako najidai nalo, ha ha haaaa.
Umenkunywa chai mwanangu? Sijui kama bado unapenda chapati za maji kama zamani mwanangu, maana ni siku nyingi ati!!...Leo nimejikuta nina uchungu na wewe mwanangu, naomba yeyote atakayekuudhi majukwaani um'mention kwangu ili nipande nae...sitaki kabisa uboreke leo mtoto mzuri!..Maana kuna watu kama akina gfsonwin , sweetlady na wengine, wanawaamkia watoto wa wengine bila hata sababu!...huh!

Hehehehehe maneno yote hayo ni baba na mwana au kuna la zaidi ?......Yangu macho tu PakaJimmy ....

.kabla ramadhani kwisha ntakutafuta nkakupe ofa ya uji wa shanga.....mwezi huu biya hapana hata Asprin na Kaizer wamejiuzulu kwa mda !
 
Last edited by a moderator:

Khaaaa! Yaani sweetlady mi na Asprin ndo tumeshindikana au ni nini nlol

Hommie hebu nipe mwingozo hapo!
 
Last edited by a moderator:
Wewe sangara , wewe kwanza hauko serious na kazi yako iliyokuweka hapo ofisini, vilevile hauko serious na ndoa pamoja na maisha yako, HIvi unataka mpaka YESU akutokee akwambie live?????? Wewe mwenyewe umeshasema Mke wa mtu!!!! Hivi ungekuwa wewe ndio mume wake huyo dada then unasemwa hivyo ungejisikiaje???

Pili unauhakika gani kama huyo dada haridhishwi pengine lenyewe ni lijihuni tu linataka wanaumekwanguvu.

Fuata kilichokupeleka hapo kazini achana na mambo ya tamaa utakosa kazi kwa sababu za kijinga jinga utese watoto bure. Mwanamke ambaye si wakwako hawezi kukuendesha hovyo hovyo. wewe ndo unayemuendekeza kama ukiwa serious atakuheshimu,

Fanya kazi achana na mambo hayo jali maisha yako na familia yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom