Nisaidieni mawazo juu ya huyu mke wa mtu

FirstLady1 Siyo kila Mwanaume anayetaka atakwambia anataka. Huwezi ukadai hutaki wakati huo huo mazingira na matendo unayoyafanya ya kuendelea kum-entertain yanaonyesha wazi kuwa uko interested.

Akili ni nywele . . .

Sawa ndugu yangu na wewe mbona huonekani ..hakuna shindano lingine?
 
Mke wa mtu muogope kama ukoma. It is simple. it is clear. Kama huamini endelea tu kuliendekeza hilo jambo.

Shida ni kuwa hujawa bold enough kumweleza in black and white kuwa HAIWEZEKANI na HUTAKI kwamba kitu anachotamani is a Death Risk.

Fuata ushauri wa boss wako.
Mke wa mtu ni mtamu kuliko maelezo. Afu ana nidhamu na hana usumbufu.

Afu nakudai hela yangu ujue. Nshakopa stanbic bank nikitegemea utanipa hela yangu nikalipe deni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom