Nisaidieni mawazo juu ya huyu mke wa mtu

Khaaaa! Yaani sweetlady mi na Asprin ndo tumeshindikana au ni nini nlol

Hommie hebu nipe mwingozo hapo!

Hehehehehe mie nawajua vema bana...... ila nafurahi vile mwezi huu mmelegeza kidogo si unaona hata Asprin ameacha kwenda kaunta ya juu eeh ananywea kwa mama Matesha kwa siri lol !
 
Last edited by a moderator:
Mimi ndio maana nilishasema wanangu wa kiume wataingia jikoni na kupika. Mitego kama hii isingekupata kama kuosha kikombe na kujiandalia chai isingekuwa ni issue kwako.

Na shukuru Mungu haukuwekewa limbwata kwenye hiyo chai.Lol. Hata akili ya kuandika huu uzi usingekuwa nayo. Mkiambiwa mjifunze kupika mnadai ni kazi za kike...mnapokuwa mbali na wakuwapikia ndo sasa mnaanza kuhangaika.

Kwanza hukusema kama umeoa au uko single. Otherwise uwe unakunywa chai home si lazima kunywa chai ofisini kama kuiandaa inakuwa ni shughuli nzito.
 
nilikuwa nakutafuta mno leo mchana
uliniona?
 
Ulikuwa unanitafuta kwa kutumia means gani? Comment au PM? Kama comments zijasoma zote...leo niko busy kidogo.

nilibadili avatar nikapokea pm zaidi ya kumi
nirudishe
hadi nimerudisha
nilitaka unione kwa avatar yangu ambayo nilikuwa naitumia zamani....
 
Kha! Si nlikwambia avatar hiyo ndo mtego....Lol. Embu weka hiyo picha iliyowatoa watu povu.

nilibadili avatar nikapokea pm zaidi ya kumi
nirudishe
hadi nimerudisha
nilitaka unione kwa avatar yangu ambayo nilikuwa naitumia zamani....
 
Mimi ndio maana nilishasema wanangu wa kiume wataingia jikoni na kupika. Mitego kama hii isingekupata kama kuosha kikombe na kujiandalia chai isingekuwa ni issue kwako.

Na shukuru Mungu haukuwekewa limbwata kwenye hiyo chai.Lol. Hata akili ya kuandika huu uzi usingekuwa nayo. Mkiambiwa mjifunze kupika mnadai ni kazi za kike...mnapokuwa mbali na wakuwapikia ndo sasa mnaanza kuhangaika.

Kwanza hukusema kama umeoa au uko single. Otherwise uwe unakunywa chai home si lazima kunywa chai ofisini kama kuiandaa inakuwa ni shughuli nzito.

Nakubaliana na wewe asilimia mia. kushindwa kupika ni tatizo kubwa sana kwa wanaume na ni moja ya chanzo cha kuingia kwenye mahusiano ya mapenzi ambayo ni inalazimishwa na wanawake, mimi ni mmoja wa wahanga wa tatizo hili, na niliishapanga kutoruhusu limtokee kijana wangu. mimi ni baba wa watoto wawili.
 
kaka siku zote mliwa nae uliwa so kama upendi mke wako aliwe basi usipende kula wake za wenzako.ila ushauli wangu ni kuachana na mazoea na uyo mama mapema kabla ayajaibuku makubwa zaidi ya hayo na isitoshe mumeo aumjui.mjenge manzingira ya mumkwaza ili asiwe na hamu ya kukuona kabisa
 
hivi ni kweli huoni kuwa wewe umechangia kwa 99%kufikia hapo uhusiano ulipofikia?kama huoni funguka macho yako ya rohoni maana inaonekana unatumia macho ya kweny chupi.
 
Mie sioni kama amechangia bali ni mwanamke mwenyewe ...
 
Mke wa mtu muogope kama ukoma. It is simple. it is clear. Kama huamini endelea tu kuliendekeza hilo jambo.

Shida ni kuwa hujawa bold enough kumweleza in black and white kuwa HAIWEZEKANI na HUTAKI kwamba kitu anachotamani is a Death Risk.

Fuata ushauri wa boss wako.
 
Mie sioni kama amechangia bali ni mwanamke mwenyewe ...

FirstLady1 Siyo kila Mwanaume anayetaka atakwambia anataka. Huwezi ukadai hutaki wakati huo huo mazingira na matendo unayoyafanya ya kuendelea kum-entertain yanaonyesha wazi kuwa uko interested.

Akili ni nywele . . .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom