Nisaidieni mawazo juu ya huyu mke wa mtu

Unajichimbia kaburi wewe mwenyewe mke/mume wa mtu sumuuuuuu hapa jamvini kila siku wanasema huelwe tu au huwa huoni mada za mafumanizi hapa na picha za mafumanizi hebu tafuta hizo thread uziangalie kwa muda then utajua moja uendelee au uache ,
Nivea, mbona unaiweka kama vile nshatembea nae tayari???
 
Stay away from mke wa mtu kaka. Tena hizo zawadi na wewe zifunge vizuri sana kama vile na wewe umeamua kumpa zawadi, mrudishie, akifungua mwenyewe atashangaa na roho yake kukuta ni chupi na condom alizokuwa amekupa!
 
Huo ndio ule wakati wakongwe wa muziki wa mipasho marehemu Nasma Hamis Kidogo au Khadija Kopa mmoja wapo alipoimba "Wadudu wadogo wadogo wananyevuanyevua"...
 
rudisha zawadi alizokupatia ukizikubali atajua umekubali kila kitu.....ikiwezekana mweleze ukweli kwamba haumuhitaji jitahidi kuwa mbali naye kwa mambo ya kiofisi sawa lakini lunch sijui nini itakula kwako
 
mmmh! Mle tu mkuu.
Chakula imejileta hiyo! Ukiicha nitakushangaa mno. Au havutii? Hebu ni pm unipe no zake nikampe vitu ili aridhike!
 
kwanza jinsi unavyo sounds tayari umekolea kinama flan ndio maana mdada wa watu kajiingiza mzima mzima
braza kaambali na mke wa mtu tafadhari wengine wametegwa hao! ooooh me simo!!
 
Never entertain unworthy, and unbecoming closer proximity. Utaumia wewe!!!!! We endelea kujifanya Consoler, wala usije kutusumbua na majuto!!!!
 
ha ha ha ha, nilichogundua ni kwamba wanawake wote waliotoa ushauri wamesema achana nae ilhali wanaume kadhaa wamesema kula uroda!! Hii inaonesha nini? Wanawake sio risk takers but careful, not necessarily moral though!!
 
Mke wamtu ni sumu

kukupa kondom ana maanisha ameathirika kwa hiyo lazima mtatumia kondom!

Je uko tayari kujitoa muanga?
 
kwanza jinsi unavyo sounds tayari umekolea kinama flan ndio maana mdada wa watu kajiingiza mzima mzima
braza kaambali na mke wa mtu tafadhari wengine wametegwa hao! ooooh me simo!!
Nakshi, trust me, sikuwahi kufikiri kama huyu dada angenifikisha hapa, sijawahi kumkolea achilia mbali kwamba ni wakawaida sana, na zaidi swala la yeye kuwa mke wa mtu sio la kusikia au la kuangalia kidoleni, jamaa yake anamleta na kumuijia ofisini kila siku, nadhani hajatulia tu huyu, hapa tumefahamiana kama sio kuonana hata miezi mitatu haijaisha. na msimamo wangu mke wa mtu simgusi, nshawahi kuvaa nguo zangu na kumuacha chumbani mke mtu sababu alisema ukweli in the dead hours, aje huyu wapi!!!!

Japo pia na nyie humu ndani naona kama mnalichukulia swala la kumpiga mtu stop asikuzoee ni rais saaaaaaaana, sikubaliani na nyie labda kama mnataka watu tukaishi maporini au tuache kazi kabisa sasa.
 
simple,

mrudishie hiyo zawadi uake, mwambie mkeo peke yake ndo mwenye ruhusa ya kukununulia chupi.....

na huna matumizi na condom, maana unafanya mapenzi na mkeo tu......

kisha acha kuchekea chekea wanawake wa watu.......

acha kutoka nae lunch, kama kuna mtu unayeweza kumuagiza muagize, la ikiwezekana mwambie mkeo akufungie msosi kwa kipindi cha kama wiki mbili hivi, ikishindikana usitoke nae lunch peke yake kuwa na mtu wa tatu....

mwisho sema nae, vunja ukimya.... mwambie huna interest nae.... ila kama unamuonea aibu kila ukiwa nae uwe unazungumza kuhusu mkeo, msifie mkeo mbele yake...ataboreka tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom