Nisaidieni malipo ya hii kodi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni malipo ya hii kodi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by jamii01, Nov 18, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,837
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  Nategemea kupokea kitelevesion changu kutoka nje kwa EMS chenye gharama kama dollar 1,000.inch 42 LED 3 D. nimepiga simu TRA wananiambia kodi Tshs.720,000.Jamani nikitu kinachowezekana kweli na mahesabu ya kodi wanacalculate kwa formula gani?.
   
 2. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mh kuna mashaka hapo, ngoja waje wanaoelewa vizuri hayo makato ya kodi yanakuwaje
   
 3. GreenHouse

  GreenHouse JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 281
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Yawezekana kabisa. Mimi nilileta tv ya nchi 42 LED kwa cargo, walinacharge 1.5 milion. wanajinsi yao ya kucalculate,japo yaumiza watanzania. nadhani wanaangalia bei ya hizo tv tanzania ndo wanapiga kodi. jiandae tu kuilipa
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  wafanyabiashara huwa hawalipi kodi halali,so kwa wewe unayeleta moja moja,utapata tarrif ya halali,kumbuka kwa serikali yetu TV ni anasa :(
  miaka siyo mingi sana mpaka around 1992 ilikuwa unapewa kadi ya kumiliki TV,ilikuwa na rangi ya njano kama kadi ya kumiliki gari
   
Loading...