Nisaidieni kwa hili wapendwa.

Nisaidieni kwa hili wapendwa.

ni kosa kubwa sana kununua kitu kwa kuangalia brand tu, unatakiwa ujijue mwenyewe matumizi yako ni yapi, ila kwa tv ya kisasa unatakiwa
1. iwe na service centre tv ikiharibika utengenezewe
2. iwe na kioo cha LED
3. port za usb, hdmi, vga (kama una laptop au desktop)
4. display iwe ni Ips au technology nyengine yenye view angle nzuri ili hata ikikaa sebuleni mnaona pande zote
5. warranty ya manufacture na sio mwenye duka, etc

chief nimerudi tena kwako...
kuna yenye vyote kwa pamoja (hdmi & vga)? au hua ni mojawapo ndo inakuepo
ips ni nini?
 
ntajuaje kama in aking'amuzi ndani???
Imeandikwa kwenye "manual" yake. Pia muuzaji atakusaidia ukimwelezea hitaji hilo. Pia kama muuzaji atakuwa na antena ya kawaida hapo dukani mwambie achomeke waya na afanye "searching" kwa kutumia remoti ya TV, hizo chaneli zitaonekana.
 
asante
 
chief nimerudi tena kwako...
kuna yenye vyote kwa pamoja (hdmi & vga)? au hua ni mojawapo ndo inakuepo
ips ni nini?
HDMI almsot mara zote inakuwepo kwenye flat tv, na hio vga sometime inakuwepo sometime haipo. ila vga ni muhimu pale utapokuwa unaconect computer na tv, mfano una laptop au desktop kuna movie ndani unataka uziangalie kwenye tv vga itatumika. ikiwemo vga ujue zote mbili HDMI na VGA zitakuwepo.

neno IPS linaweza kukuchanganya, pengine hata muuzaji asilijue, cha muhimu ukifika dukani si wana demo za hizo tv? angalia ile tv straight then nenda kulia halafu nenda kushoto ukiona quality haipungui ujue hio tv ina ips na view angle ni nzuri, hii husaidia watu wanaokaa makochi ya pembeni sebuleni pia kuona vizuri tv
 
asante sana chief
 
Chukua Sony, ikikushinda chukua Samsung kwisha, hizo nyingine hamna kitu kabisa
 
Mambo zenu,naomba mnisaidie kuchagua kati ya tv hizi:

SAMSUNG

LG

SONY

HEISENCE

SOLSTAR

Zote ni inch 32 na price zao zinarange sawa except kwa SONY iko juu kidogo kuliko zingine hapo.

Nimegoogle nimeelewa some vitu some viko kiufundi zaidi sijaelewa...

Nataka kujua ipi ni bora kuliko zingine ktk hio list hapo...

Cc Chief-Mkwawa naomba usiache kupita hapa
Sony is the best
 
Back
Top Bottom