Binafsi sijawahi kuwaelewa, kwa mfano Raisi wa Kenya au Kiongozi wao yoyote akihutubia Taifa la Kenya anatumia English, lkn akifanya kampeni za kisiasa anatumia Kiswahili, au hata akiwa nje ya nchi na kuongea na Wakenya diaspora huo anatumia Kiswahili, sasa kwa nini? Kuna anayeweza kunisaidia hii paradox? Kwa mfano Raisi wao kaapishwa kahutubia Taifa english, lkn akiwa anatafuta kura anatumia Kiswahili, sasa kwa nini?
kenya ina viongozi wa ajabu-kiongozi ambae anaongea na wanaichi wake awezi kutia lugha ngeni ili hali lugha ilio ya wengi ipoo-kuna wazee ambao madkini shule awakuziona kuna wengine kwa baht mbaya awakuweza kupata kukifahmu kiengereza -huu ni u mbu mbu mbu wa kiwango cha kusto jielewa-ckweli kua wakenya wote ligha ya kimalikia wana ifahamu
Najua kwamba ana huwo Uhuru, lkn nimeuliza logic ya kufanya hivyo!
Wewe ni mbumbumbu wa kwanza ............. Kenya wao hiyo lugha inayomshinda hata huyo kiongozi mkubwa wenu ndio lugha yao rasmi kabisa... na kwa mtu huwa anaongea English na kwambali sana kiswahili kimyume na hapo wanaongea kilugha kama huyo kiongozi wenu baada ya kiswahili cha kuchapia chapia next ni kilugha ha ha aha aha
Huwo?Najua kwamba ana huwo Uhuru, lkn nimeuliza logic ya kufanya hivyo!
Wewe kama sio chizi basi ni mwenda wazimu, Kenya lugha ya taifa ni kiswahili, na kimetajwa katika katiba yao, wananchi wengi wa Kenya hasa vijijini hawajui kabisa kiingereza, nenda pwani kwa wadigo, waduruma, wakamba, waswahili, au nenda kaskazini kwa Pokot na turkanas, lakusikitisha hata rais wao anapohutubia taifa anatumia English, ukweli ni kwamba Kenya inamatabaka ya watu, tabaka la matajiri na walioelimika ambao wengi wapo mijini hawakipendi kiswahili, na tabaka la watu masikini wasio na elimu ambao ndiyo wengi wanaoishi vijijini na slums za mijini, hawa hutumia kiswahili na serikali haiwajali sana hawa, kwahiyo wanapotaka kura, huenda vijijini na kwenye slums na hutumia kiswahili, wanapokuwa katika ofisi kubwakubwa hutumia EnglishWewe ni mbumbumbu wa kwanza ............. Kenya wao hiyo lugha inayomshinda hata huyo kiongozi mkubwa wenu ndio lugha yao rasmi kabisa... na kwa mtu huwa anaongea English na kwambali sana kiswahili kimyume na hapo wanaongea kilugha kama huyo kiongozi wenu baada ya kiswahili cha kuchapia chapia next ni kilugha ha ha aha aha
Duh! Umejiunga kwaajili ya thread hii. Noma sana. Lakini karibu kwenye Jamii Forums. (Ujamaa Forum)Msubiri raila atakupa majibu yupo kwa around
Kwa sababu siku ya kuapishwa huwa kuna wageni wengi wasiojua kiswahili, hata bungeni wanatumia kingereza.Binafsi sijawahi kuwaelewa, kwa mfano Raisi wa Kenya au Kiongozi wao yoyote akihutubia Taifa la Kenya anatumia English, lkn akifanya kampeni za kisiasa anatumia Kiswahili, au hata akiwa nje ya nchi na kuongea na Wakenya diaspora huo anatumia Kiswahili, sasa kwa nini? Kuna anayeweza kunisaidia hii paradox? Kwa mfano Raisi wao kaapishwa kahutubia Taifa english, lkn akiwa anatafuta kura anatumia Kiswahili, sasa kwa nini?
Hawajui kiswahili vizuriKwa nini Kampeni zao za kutafuta kura wanatumia English?
Na huku kwetu tatizo la kizungu linaanzia juu mpaka chini. Fonti fedi! ni kiyunani sio kiinglishNafikiri ni kuwapa watu wa mataifa ya nje nafasi ya wao kuelewa pia, kwa WaKenya kizungu si tatizo kama huku kwetu kwa hiyo na wao wanaelewa vizuri