Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Binafsi sijawahi kuwaelewa, kwa mfano Raisi wa Kenya au Kiongozi wao yoyote akihutubia Taifa la Kenya anatumia English, lkn akifanya kampeni za kisiasa anatumia Kiswahili, au hata akiwa nje ya nchi na kuongea na Wakenya diaspora huo anatumia Kiswahili, sasa kwa nini? Kuna anayeweza kunisaidia hii paradox? Kwa mfano Raisi wao kaapishwa kahutubia Taifa english, lkn akiwa anatafuta kura anatumia Kiswahili, sasa kwa nini?