Nisaidieni kumwelewa huyu boss

Mtoa mada, Nikutoe wasiwasi

BINAFSI, NAPONGEZA SANA HIZI JUHUDI

Kwa sababu zifuatazo;

1.kuhusu CT scan
Hizo mashine zilikua zinatumika kuwatibu wezi na wapiga dili wa nchi hii.

Hasa hasa yale Majizi ya chadema na wale wasiolitakia mema taifa letu.

Sahivi wanalalamika baada ya kuishiwa ela za matibabu kule Nairobi walikozoea

2.kuhusu Ndege
Hili Ni jambo LA kujivunia sana, Serikali itaweza kujiongezea mapato na pia itapelekea kushuka kwa gharama za usafiri nchini kwetu.

Ukichunguza kwa makini,
Wanachadema na wasiolitakia mema taifa letu wengi.

Ndo wale wale wamiliki wa mabasi&noah za kwenda mikoani.

Hawa inawauma kwasababu,
Watanzania hawatapanda tena mabasi yao mabovu kwenda mikoani.

Nna imani kabisa ikishafika hii ndege yetu mpya ya 7,

Nauli za kwenda mikoani zitashuka sana.

WATANZANIA wote tutakimbilia airport kusafiri kwa pipa
"BOMBA-DEAR"

"TUKO KWENYE VITA YA KIUCHUMI"

"USHINDI NI LAZIMA"

###TUKOKWENYERIGHTTRACK###

##TUUNGE MKONO JUHUDI##
hivi ulichokiandika hapa kimetoka kwenye upeo wako kabisa amaa!!!!!!!!!!!!!

Kwanza unajua CT Scan inafanya nini?
Unajua bei ya CT Scan?
Unajua zinaendeshwaje?
Unajua gharama za kuendesha CT Scan?
Unajua deni mlilokuwanalo kwenye hizo CT Scan?
Unajua gharama za kufanya Diagnostic na CT Scan?

hebu kuwa na uzalendo acha ubinafsi chief.
 
Tatizo unatumia nguvu kubwa sana kutafuta ku uelewa mchango wangu.

"The closer you look, The less you see"
 
Mkuu,
Rudia tena kuusoma vzur,kwa utulivu na ukiwa ume-relax

Utakapokwama,
Uliza utaeleweshwa.
Point yako ya kwanza umeongelea kuhusu CT Scan na mafisadi wa chadema ambao walikua wananufaika hapo mwanzo, kwa maana hiyo umekubali kipaumbele kiwe ni ndege na sio matibabu kwa wananchi wa Tanzania?

Point ya mafisadi wa chadema naona haina nguvu maana kama ni mafisadi ela za kwenda kutibiwa nje wanazo tofauti na wananchi wengine ambao sio mafisadi....wao hawana uwezo wa kwenda kutibiwa nje.
 
"The Closer you look, The less you see"
 
Mtoa mada, Nikutoe wasiwasi

BINAFSI, NAPONGEZA SANA HIZI JUHUDI

Kwa sababu zifuatazo;

1.kuhusu CT scan
Hizo mashine zilikua zinatumika kuwatibu wezi na wapiga dili wa nchi hii.

Hasa hasa yale Majizi ya chadema na wale wasiolitakia mema taifa letu.

Sahivi wanalalamika baada ya kuishiwa ela za matibabu kule Nairobi walikozoea

2.kuhusu Ndege
Hili Ni jambo LA kujivunia sana, Serikali itaweza kujiongezea mapato na pia itapelekea kushuka kwa gharama za usafiri nchini kwetu.

Ukichunguza kwa makini,
Wanachadema na wasiolitakia mema taifa letu wengi.

Ndo wale wale wamiliki wa mabasi&noah za kwenda mikoani.

Hawa inawauma kwasababu,
Watanzania hawatapanda tena mabasi yao mabovu kwenda mikoani na nje ya NCHI.

Nna imani kabisa ikishafika hii ndege yetu mpya ya 7,

Nauli za kwenda mikoani zitashuka sana.

WATANZANIA wote tutakimbilia airport kusafiri kwa pipa
"BOMBA-DEAR"

"TUKO KWENYE VITA YA KIUCHUMI"

"USHINDI NI LAZIMA"

###TUKOKWENYERIGHTTRACK###

##TUUNGE MKONO JUHUDI##
Swali jepesi kama ndege zimeleta maendeleo tukokotoe hizo ndege 6 za awali zimeleta faida kiasi gani na maendeleo yapi?
 
Back
Top Bottom