Nisaidieni kumwelewa huyu boss

Nisaidieni kumwelewa huyu boss

Hata mie ningekuwa hivyo hivyo tu,watz mnachonga sana wakati hata kutunza vyumba vya madarasa huwa hamuwezi. Mwacheni anunue madege afya na elimu kila mtu atajua mwenyewe. Kama vp nenda kwa mganga wa jadi huwa hataki CT scan wala nini na tunapona vile vile.
Aiseee mkuu umekata tamaa?
 
Hata mie ningekuwa hivyo hivyo tu,watz mnachonga sana wakati hata kutunza vyumba vya madarasa huwa hamuwezi. Mwacheni anunue madege afya na elimu kila mtu atajua mwenyewe. Kama vp nenda kwa mganga wa jadi huwa hataki CT scan wala nini na tunapona vile vile.

Akili yenye pumu[emoji23]
 
Naomba haya maviongozi yakienda kutibiwa nje ya nchi, yawe yanarudi ndani ya jeneza. Maana si kwa jeuri hizo. Spika katibiwa sijui kidole cha mguu India tena kwa muda mrefu. Inauma sana
 
Mtoa mada, Nikutoe wasiwasi

BINAFSI, NAPONGEZA SANA HIZI JUHUDI

Kwa sababu zifuatazo;

1.kuhusu CT scan
Hizo mashine zilikua zinatumika kuwatibu wezi na wapiga dili wa nchi hii.

Hasa hasa yale Majizi ya chadema na wale wasiolitakia mema taifa letu.

Sahivi wanalalamika baada ya kuishiwa ela za matibabu kule Nairobi walikozoea

2.kuhusu Ndege
Hili Ni jambo LA kujivunia sana, Serikali itaweza kujiongezea mapato na pia itapelekea kushuka kwa gharama za usafiri nchini kwetu.

Ukichunguza kwa makini,
Wanachadema na wasiolitakia mema taifa letu wengi.

Ndo wale wale wamiliki wa mabasi&noah za kwenda mikoani.

Hawa inawauma kwasababu,
Watanzania hawatapanda tena mabasi yao mabovu kwenda mikoani na nje ya NCHI.

Nna imani kabisa ikishafika hii ndege yetu mpya ya 7,

Nauli za kwenda mikoani zitashuka sana.

WATANZANIA wote tutakimbilia airport kusafiri kwa pipa
"BOMBA-DEAR"

"TUKO KWENYE VITA YA KIUCHUMI"

"USHINDI NI LAZIMA"

###TUKOKWENYERIGHTTRACK###

##TUUNGE MKONO JUHUDI##
 
Back
Top Bottom