jamaako akadelete fasta hako katoto halafu atafute demu mwingine wa kuanzia 22+ then aweanafanyanae showoff kwa kale katoto ilinakenyewe kaache kumfuatafuata wakati hakaeleweki.
1. Dini tofauti na makubaliano mwanamke atabadilisha... Inawezekana kaamua kughairi...
2. Miaka 19 bado mtoto... Atamsumbua kama alivyoanza kumsumbua bila sababu...
3. Mwanamke kukaa na simu siyo wivu bali ni utoto...
4. Alikula yamini na mganga... Ni uzushi ni njia ya kumueka jamaa pending afanye mambo yake yaliyoingilia hapa kati akimaliza atarudi tena kwa ajili ya ndao...
She is not worthiest... Jamaa ashtuke anachezewa na kupotezewa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.