Nisaidieni kufafanua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni kufafanua

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Prime Dynamics, Jan 17, 2011.

 1. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Je hii clause iko na option au haina?
  "The agent is required to purchase a minimum units of value of not less than one week average or 10m whichever is higher"
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Haina option hapo.
  Tena umelimitiwa muda na pesa.
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hapo ni kwamba inabidi ununue Units either 10m kama ndio kubwa au
  One week Average kama ni kubwa zaidi ya 10m

  kwahiyo utatakiwa ununue:-
  kama average yako ya wiki ni chini ya 10m basi ununue 10m kama inazidi basi itakuwa ni the latter.(average yako ya wiki)
   
 4. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nilidhani neno OR katika sentence linaleta maana tofauti.
  Value of not less than one week average, hapa the amount is not mentioned therefore the agent is the one who is required to come up with the figure which will sustain for a week.
  OR 10m whichever is higher
  , if the agent's sells are higher in a week then his either required to purchase units of 10m or more than 10m (which meant whichever is higher)
  Kwa mtizamo wangu there are two options. Please correct me if am wrong
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  From my understanding wewe ni agent ambae unatakiwa kuuza vitu ambavyo unavinunua kutoka kwa muuzaji.... na manunuzi ni kwa wiki sasa kwenye minimun order quantity inategemea uchaguzi wako na choice yako hata iweje lazima itakuwa juu ya 10m
  Value of not less than one week average hapa inategemea kwa wiki utatumia bidhaa za value gani unaweza ukatumia 5m; 10m; 15m or 20m;

  Sasa ukitumia 5m itabidi ununue vya 10m vingine unaweza kuweka stock if its a stock product (au kama ni internet bandwidth;ambayo haina roll over) hapo itakuwa imekula kwako.

  Ukitumia value ya 20m itabidi ununue ya 20m because 20m is higher than ten.....

  In short hapa umebanwa kwamba kwa wiki lazima ununue value isiopungua 10m
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kwani ni bidhaa gani hizi labda nikijua bidhaa ndio itakuwa rahisi je bidhaa ni abstract kama call time ya simu au bandwidth ya internet na kama ni hizo hapo juu niambie because maybe i can help in finding a cheaper option
   
 7. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  VOR, hii ni contract ambayo nashindwa kuelewana na wahusika.Mawakili wawili wameupitia huo mkataba pia nao wakaniambia kuna two options hapo.
  Lakini (Value of not less than one week average hapa inategemea kwa wiki utatumia bidhaa za value gani unaweza ukatumia 5m; 10m; 15m or 20m;) hapo mkuu uko sahihi kabisa. baada ya kupata hicho kiasi ndio agent anapata constant amount ya kununua kila wiki. Kama utanunua zaidi ya mara moja kwa wiki hapo 10m au zaidi inakuhusu. hapo unaona vipi?
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Inawezekana ikawa hivyo ila kuavoid ambiguity na kutokuelewana baadae kama hawa watu hawapo mbali ongea nao ili wa clarify, sababu its possible kwamba labda unavyonunua zaidi kuna some discount. Lakini I would think labda baada ya wiki average yako inakuwa 5m hapa according to hizo clause sidhani kama atakuruhusu huwe unaspend 5m tu nadhani atataka uspend 10m; na kama average yako itakuwa 20m hawezi akakupa bidhaa za 20m kwa 10m

  ila kuwa na uhakika ongea nao ili hii clause ibadilike maneno na iwe inaeleweka..., hizi ni pesa nyingi mkuu hutaki kesho na keshokutwa ije ilete shida.
   
 9. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kutokana na huo mkataba profit margin waliotoa ni 3% sasa basi if you deposit 10m it will take you 2 or 3 consecutive months kuuza hizo units zote. Despite the fact that sales zina pick up as days go by returns zake zinakuwa ndogo yet mkataba unazungumzia mauzo ya wiki na sio mwezi. ila hiyo margin kwa wiki ni ok. Na pia cha kushangaza walinipa units za 5m mwanzoni nilivyo rudi kunua tena waka niambia ni toe 10m. Yet mtakaba unasema hivi clause ya pili "The agent shall replenish his units in the machine if the outstanding is 1/4 of the total units purchased" sasa hapa ukirudi kununua units wanakulazimisha to pay 10m. Kwa mtizamo wangu hata kama agent amelipa 10m, if his replenishing his required kununua kiasi ambacho kimepugua bcoz yeye ndio anakijua from his machine. Hapo unasemaje Mr VOR? does it make sense mkuu?
   
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nadhani hawa jamaa wamekupa options ngumu sana... sababu watakuwa wanataka mteja na wataogopa ukiwahama waambie kwamba wewe sales zako ni 5m kwa wiki na kwamba huwezi kununua 10m; am sure kama ni business people wanaweza wakanegotiate unless wanao wateja wengi sana..... huu mkataba unakubana sana
   
 11. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  VOR you are very right. Huu mkataba umenibana sana na pia these guys are holding my money na wananilazimisha kulipa 10m. Kutokana na maelezo yako VOR have decided to go for a bond from insurance ya 10m kwa muda wa mwaka mmoja. Ili nifanye biashara ndio nilipe based on the bond. Do you think this will be a better option kwavile sina pesa taslim?
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kwani hii contract ni ya muda gani? na hakuna option ya kukatisha mkataba? lakini kama return on investment ni nzuri na inalipa then option ya kutafuta funds ili uendelee na mkataba sio mbaya after all that what business is all about..... PROFIT.

  Ila kabla haujafanya hivyo jaribu kubargain... waambie hauna pesa kabisa na unataka uendelee na biashara nao, you never know labda watakupa option ya kununua 5m hata kama wataongezea kidogo price per unit.
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Depends mwisho wa siku interest ya bond ni kiasi gani na kama kuna option ya kuchukua chini ya mwaka that is better.. kwahiyo inabidi uangalie mwisho wa siku itakucost kiasi gani... Sababu kama hii Contract ni ya mwaka then 10m x 4weeks x 12 = 480millions hii ndio minimum investment kwa mwaka wa hii biashara. Sasa hapa inabidi uone kama profit itakuwa kubwa kuweza kulipa deni na interests incurred from the Bond.

  Lakini usife moyo the best option ongea nao na negotiate manunuzi kwa wiki... am sure kama kweli ni wafanya biashara na wanabuild long term relationship with their customers watakuwa tayari kushusha MOQ.... last option unaweza ukaambia instead of paying 5m for 5m value unaweza ukaongezea kidogo kama usumbufu wa kununua bidhaa kidogo.... there is always room for negotiaions and without trying you never know. Hata kama mtu mmoja atakaa omba kuongea na meneja wao
   
 14. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hii contract ni ya mwaka mmoja. Na insuance bond pia itakuwa ya mwaka mmoja. Riba ya bond ni 250,000 kwa mwaka. Nimajaribu kuongea na manager husika lakini it is like hana maamuzi. Though, akisoma contract pia nae anagundua kuna kasoro. Manager makao makuu hapo Dar ananirudisha mkoani, na wa mkoani ananirusha kwa zonal manager, zonal manager ananirusha kwa wakili wao. Navyoomba contacts za wakili wao hawatoi. Tena huyu manager na Zonal manager hawataki hata kunisikiliza. Licha ya kwamba contract inasema hivi kwenye kifungu cha settlement of disputes "The parties shall use their best efforts to settle amicably all disputes arising out of or in connection with this contract or its interpretation" manager alieajiriwa na serikali kuwatumikia wananchi anasubutu kwambia that "pls just get out of my office sio mimi niliotunga huo mkataba rudi makao makuu. inavunja moyo sana. Hao ndio Tanesco yetu.
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kama ni Tanzania na walivyo wazembe hata ukibishana nao huenda ikachukua miaka kumi, nilidhani ni nje ya nchi basi bora uchukue hiyo bond sababu riba yake ni acceptable nadhani hii ndio best option
   
Loading...