chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,128
- 22,535
Ukiona umempenda hivo jiandae kuumizwa mwanamke anapaswa kupendwa na sio kupenda
Kwelii mwanaume anatakiwa kupenda
Mwanamke anatakiwa kumheshimu mume.
Mwanamke kupenda nikujipa kazi isiyokuhusu.