Nisaidieni jinsi ya kupunguza kupenda

Rafikii Focus kwenye mishe mpende na usifatilie Yake Jitahdi umrudie mungu kwa moyo wako wote cz kwa mungu hakuna majuto
 
hawashauriki hawa wadada. msipoteze nguvu zenu bure kumshauri
utakuta mtu anadundwa kila siku lakini anajidai kapenda
shenzi zenu wadada
 
Anzisha biashara mpya na ufanye kila uwezalo kuzishinda changamoto yaani kuifanya biashara yako ifanikiwe.
Muda utakaoutumia kufanya hivyo utakuwa umejisaidia mwenyewe kupunguza kupenda, kadri upweke unavyokuzidi ndivyo akili yako inavyokuwa ikiwaza mahusiano zaidi na zaidi.

Endapo hiyo biashara nyingine itafikia hatua nzuri na kukupa muda mwingi wakuwa huru bila majukumu tambua itakuwa ni muda muafaka wakufikiria na kuanzisha biashara nyingine tena.
Nimekupata ngoja nijitahid
 
Naipata wap? Inaitwaje?
Pole sana mkuu

Hata hivyo, sishauri hata kidogo ujaribu kufanya attempt yoyote ya kupunguza hormones za oxytocin.

Aina hii ya hormone ndiyo inakusaidia kuishi vizuri na jamii nzima inayokuzunguka (positive social interactions), kutengeneza mahusiano mbalimbali; hapa sio ya kimapenzi tu....no! hata urafiki wa kawaida.

Ukiwa na low oxytocin unakua huna Empathy - that is ability to feel for others.

Sasa unapokua huna empathy kuna mengi yatafuata ikiwemo ubinafsi, ukatili, kutokujali na mengineyo.

Back to the main topic;

Kubwa kuliko yote, amua kama huyo ndiye mtu sahihi kwako. Ukishafahamu hilo, you'll fight for him na kuchukua weakness zake.

Ukigundua yeye sio mtu unayemuhitaji, fanya this next move (haitakua rahisi sana);

Kisaikolojia inaaminika bond hutengenezwa zaidi watu wawili wapokua wanaweza kuonana mara kwa mara.

Hapo ndipo inapokuja theory ya out of sight...out of mind/heart

Sijui kwa upande wenu kuonana 'mara kwa mara' ni kupi, ila ukiweza kuli control hili... taratibu ataondoka mawazoni kwako

All in all kama huyo ndiye mtu unamuhitaji, jitahidi kujua namna nzuri ya kuishi nae. Kupenda sana sio jambo baya kama unampenda mtu sahihi
 
Pole sana mkuu

Hata hivyo, sishauri hata kidogo ujaribu kufanya attempt yoyote ya kupunguza hormones za oxytocin.

Aina hii ya hormone ndiyo inakusaidia kuishi vizuri na jamii nzima inayokuzunguka (positive social interactions), kutengeneza mahusiano mbalimbali; hapa sio ya kimapenzi tu....no! hata urafiki wa kawaida.

Ukiwa na low oxytocin unakua una Empathy - that is ability to feel for others.

Sasa unapokua huna empathy kuna mengi yatafuata ikiwemo ubinafsi, ukatili, kutokujali na mengineyo.

Back to the main topic;

Kubwa kuliko yote, amua kama huyo ndiye mtu sahihi kwako. Ukishafahamu hilo, you'll fight for him na kuchukua weakness zake.

Ukigundua yeye sio mtu unayemuhitaji, fanya this next move (haitakua rahisi sana);

Kisaikolojia inaaminika bond hutengenezwa zaidi watu wawili wapokua wanaweza kuonana mara kwa mara.

Hapo ndipo inapokuja theory ya out of sight...out of mind/heart

Sijui kwa upande wenu kuonana 'mara kwa mara' ni kupi, ila ukiweza kuli control hili... taratibu ataondoka mawazoni kwako

All in all kama huyo ndiye mtu unamuhitaji, jitahidi kujua namna nzuri ya kuishi nae. Kupenda sana sio jambo baya kama unampenda mtu sahihi
Asante sana!!!!!!!!!
Mungu akubariki kwa ushauri huu.
Nampenda kwelikweli lakn yaan cjui anawazaga nini...
 
  • Thanks
Reactions: Pep
jikite zaidi na maisha yako, kua bize na mambo yako ya msingi,punguza kumtafuta inshort punguza mawasiliano naye na akikutafta akuulize mbona humtaft mwambie upo tight utamcheki kata sim endelea na mambo yako na usimcheki wala yan fanya kama vile hayupo hapa duniani na una mambo mengi ya kufanya
Dah....huu ni ushauri mbovu ....( in Makamba Sr voice)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwanamke nimempenda mwanaume wangu kupita kiasi hata sijui nimempendea nini. Hili jambo linaniathiri sana kwasabu najua yeye hanipend kama ninavyompenda.

Huwa nabishana na mawazo yangu wakati mwingine kwa kuona kwamba ananipenda saana ila haniamini kwasababu anakauli yake kila siku anasema mimi nina mambo mengi bila kufafanua zaidi, huu umekua kama wimbo sasa masikioni mwangu.

Sasa nakuwa sielewi mambo mengi ni yap? Nachojua tu ana wivu sana. Sikai naye, yeye anakaa kwake na ameajiriwa Serikalini na mimi nakaa kwangu na nimejiajiri ila tupo Mji mmoja.

Nimeshajaribu sana kumuacha nimeshindwa basi angalau nipunguze tu. Nimefungua jina jipya kwasababu maalumu.
Kuna watu wanatabia zifuatazo ambazo huleta mkaranganyiko wa hisia katika mahusiano na kuvuruga....

(a) Kuna wale ambao anakuwa anampenda mwenzake ila anachagua kutokumuonyesha yaani anampenda kimoyo moyo, but hakuna siku atamtamkia anampenda, hakuna siku atamuonyesha hisia za wazi. Upuuzi sana huu.

(b) kuna wale ambao akipenda anatumia nguvu sana kuonyesha upendo wake hadi anakuw kero kwa mwenzake. Imagine mtu anakupigia simu missed call 40, na hapo ni uliweka simu chaji tu ukaenda kuoga. Ila mawenge yake yakamwambia unamsaliti muda huo. Sampuli hii ndio hukupigia video call saa sita au saa saba usiku halafu anakwambia washa taa nenda bafuni aone kama hakuna mtu. Au atakukuta na jinsia tofauti anaweza hata anzisha zogo sababu ya wivu. Au anaweza lazimisha kuishi na mwenza hata kama mazingira ni wazi hayaruhusu. Au akalazimisha kwa kununua vitu vya gharama ili amrubuni mwenza wake.

(c) kuna wale wanaopenda halafu wanataka wewe uwapende vile wanataka sio vile unavyotaka wewe. Kupenda ni kuwajibika kwa mwenzako. Unakuta mwanamke anakwambia me nataka unitoe out, tukitoka unishike mkono mbele za watu. Tupige picha za pamoja unipost kwenye Instagram account yako. Mara, niweke kwenye profile picture yako na niweke picha yangu status siku ya birthday yangu. Au utasikia kwa nn hauninunulii zawadi, nifanyie suprise, kwann tukila haunilishi, sipendi uwe unaongea na simu ukiwa na mimi unipe attention.

(d) Kuna wale wanaotaka kutofautisha mapenzi na majukumu ya mahusiano. Anakupenda lakini usipokuwa mtimizaji wa majukumu yako anakumind. Na mara nyingi yeye mahaba huja akiona unasimamia nafasi yako vizuri but ukizingua tu anakuona kero. Mfano, unalipa kodi ya nyumba, unafanya kazi, unaweka mipango ya ujenzi..... Una wekeza pesa yako vizuri, una future na yeye, una malengo ya kueleweka sio ndoto za mchana.
 
Mngekaa pamoja kama mwezi hivi
Ungepata jibu..

Unaweza fikiri unampenda sana mtu but jaribu kuishi nae uone.. ukitoka hurudi..
Nimependa sana mkuu komenti yako hawa wasichana wanajifanya wanajua kupenda sana sasa ngoja wakue wawe wanawake waingie kwenye ndoa alafu tuone

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanatabia zifuatazo ambazo huleta mkaranganyiko wa hisia katika mahusiano na kuvuruga....

(a) Kuna wale ambao anakuwa anampenda mwenzake ila anachagua kutokumuonyesha yaani anampenda kimoyo moyo, but hakuna siku atamtamkia anampenda, hakuna siku atamuonyesha hisia za wazi. Upuuzi sana huu.

(b) kuna wale ambao akipenda anatumia nguvu sana kuonyesha upendo wake hadi anakuw kero kwa mwenzake. Imagine mtu anakupigia simu missed call 40, na hapo ni uliweka simu chaji tu ukaenda kuoga. Ila mawenge yake yakamwambia unamsaliti muda huo. Sampuli hii ndio hukupigia video call saa sita au saa saba usiku halafu anakwambia washa taa nenda bafuni aone kama hakuna mtu. Au atakukuta na jinsia tofauti anaweza hata anzisha zogo sababu ya wivu. Au anaweza lazimisha kuishi na mwenza hata kama mazingira ni wazi hayaruhusu. Au akalazimisha kwa kununua vitu vya gharama ili amrubuni mwenza wake.

(c) kuna wale wanaopenda halafu wanataka wewe uwapende vile wanataka sio vile unavyotaka wewe. Kupenda ni kuwajibika kwa mwenzako. Unakuta mwanamke anakwambia me nataka unitoe out, tukitoka unishike mkono mbele za watu. Tupige picha za pamoja unipost kwenye Instagram account yako. Mara, niweke kwenye profile picture yako na niweke picha yangu status siku ya birthday yangu. Au utasikia kwa nn hauninunulii zawadi, nifanyie suprise, kwann tukila haunilishi, sipendi uwe unaongea na simu ukiwa na mimi unipe attention.

(d) Kuna wale wanaotaka kutofautisha mapenzi na majukumu ya mahusiano. Anakupenda lakini usipokuwa mtimizaji wa majukumu yako anakumind. Na mara nyingi yeye mahaba huja akiona unasimamia nafasi yako vizuri but ukizingua tu anakuona kero. Mfano, unalipa kodi ya nyumba, unafanya kazi, unaweka mipango ya ujenzi..... Una wekeza pesa yako vizuri, una future na yeye, una malengo ya kueleweka sio ndoto za mchana.
Hapo kwa "d" imekaa poa sana..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom