Nisaidieni jinsi ya kupunguza kupenda

Mimi ni mwanamke nimempenda mwanaume wangu kupita kiasi hata sijui nimempendea nini. Hili jambo linaniathiri sana kwasabu najua yeye hanipend kama ninavyompenda.

Huwa nabishana na mawazo yangu wakati mwingine kwa kuona kwamba ananipenda saana ila haniamini kwasababu anakauli yake kila siku anasema mimi nina mambo mengi bila kufafanua zaidi, huu umekua kama wimbo sasa masikioni mwangu.

Sasa nakua sielewi mambo mengi ni yap? Nachojua tu ana wivu sana. Sikai naye, yeye anakaa kwake na ameajiriwa Serikalini na mimi nakaa kwangu na nimejiajiri ila tupo Mji mmoja.

Nimeshajaribu sana kumuacha nimeshindwa basi angalau nipunguze tu. Nimefungua jina jipya kwasababu maalumu.
Mimi naomba nikushauli yafuatayo

1.Futa namba zake zote za simu katika simu yako ikiwezekana badili namba kwa muda.

2.Tumia muda mwingi na marafiki ambao wana tabia ya kutoka out na kufurahi pamoja.

3.Tumia muda mwingi kufanya vitu ambavyo vitakuingizia pesa

Nakwambia ukifanya haya moyo na akiri zako zitatuliaa Mimi niliwahi kufanya hivi ilinisaidia sana
 
Hii inasaidia
 
Binadam tunatofautiana.. kwa mfano mm demu wangu huwa anahisi simpendi na anajihisi yeye anaupendo mkubwa kwangu zaid yangu kutokana na mamb flanflan, Kama vile anataka tuchat na tuongee muda mref kila wakat ila mm nashindwa kuwa hivyo kwasababu ya kazi, Mara nying huwa yeye ndo anaanza kunitafuta kabla yangu.., hiki kitendo pia kinazid kumfanya aamini kuwa mm simpendi lakin sivyo, nampenda Sana tu, yeye huwa Ni muongeaji Sana kuliko mm, kwahiyo mm ule ukimya wangu unamfanya aamini sina furaha nae, hapana ninafuraha nae ila kashindwa kunielewa tu,.

Mapenzi yana changamoto Sana unaweza kujiona hakupendi kumbe anakupenda Sana, na unaweza kuona anakupenda kumbe anakulaghai tu, we kaa nae chin na umwambie akuweke waz Kama kweli anakupenda au yupo mwngne anaempenda zaid, na akwambie ni sababu zipi zinazomfanya awe hivyo, naamin majibu atakayokupa utaweza kugundua kitu Kama unapendwa au unamkera tu.
 
pole...unataka upunguze kumoenda ili ufanye nini....kama umpendi njoo nikugegede...naamini utapunguza tu kumpenda...
 
Binadam tunatofautiana.. kwa mfano mm demu wangu huwa anahisi simpendi na anajihisi yeye anaupendo mkubwa kwangu zaid yangu kutokana na mamb flanflan, Kama vile anataka tuchat na tuongee muda mref kila wakat ila mm nashindwa kuwa hivyo kwasababu ya kazi, Mara nying huwa yeye ndo anaanza kunitafuta kabla yangu.., hiki kitendo pia kinazid kumfanya aamini kuwa mm simpendi lakin sivyo, nampenda Sana tu, yeye huwa Ni muongeaji Sana kuliko mm, kwahiyo mm ule ukimya wangu unamfanya aamini sina furaha nae, hapana ninafuraha nae ila kashindwa kunielewa tu,.

Mapenzi yana changamoto Sana unaweza kujiona hakupendi kumbe anakupenda Sana, na unaweza kuona anakupenda kumbe anakulaghai tu, we kaa nae chin na umwambie akuweke waz Kama kweli anakupenda au yupo mwngne anaempenda zaid, na akwambie ni sababu zipi zinazomfanya awe hivyo, naamin majibu atakayokupa utaweza kugundua kitu Kama unapendwa au unamkera tu.

Yani ww kama mm tu kwa dem wangu..

Ila mwisho wa siku anaweza kukuacha, akipata mtu wa kumpa attention:.
 
Hakuna doctor wa mapenzi
Sijui ni kwasababu gani !!
Mimi ni mwanamke nimempenda mwanaume wangu kupita kiasi hata sijui nimempendea nini. Hili jambo linaniathiri sana kwasabu najua yeye hanipend kama ninavyompenda.

Huwa nabishana na mawazo yangu wakati mwingine kwa kuona kwamba ananipenda saana ila haniamini kwasababu anakauli yake kila siku anasema mimi nina mambo mengi bila kufafanua zaidi, huu umekua kama wimbo sasa masikioni mwangu.

Sasa nakua sielewi mambo mengi ni yap? Nachojua tu ana wivu sana. Sikai naye, yeye anakaa kwake na ameajiriwa Serikalini na mimi nakaa kwangu na nimejiajiri ila tupo Mji mmoja.

Nimeshajaribu sana kumuacha nimeshindwa basi angalau nipunguze tu. Nimefungua jina jipya kwasababu maalumu.
 
Nimeshajaribu sana kumuacha nimeshindwa basi angalau nipunguze tu.

mi nakushauri jenga mazoea ya kuonana nae mara kwa mara, tumia muda mwingi kukaa nae, zidisha mawasiliano, kama una kapicha kake chukua uwe unakaangaliaa, hiyo itakusaidia kumzoea na kumuona wa kawaida from then itakuwa rahisi kwako kumuacha sababu atakuwa hana jipya tena.
 
Mimi ni mwanamke nimempenda mwanaume wangu kupita kiasi hata sijui nimempendea nini. Hili jambo linaniathiri sana kwasabu najua yeye hanipend kama ninavyompenda.

Huwa nabishana na mawazo yangu wakati mwingine kwa kuona kwamba ananipenda saana ila haniamini kwasababu anakauli yake kila siku anasema mimi nina mambo mengi bila kufafanua zaidi, huu umekua kama wimbo sasa masikioni mwangu.

Sasa nakua sielewi mambo mengi ni yap? Nachojua tu ana wivu sana. Sikai naye, yeye anakaa kwake na ameajiriwa Serikalini na mimi nakaa kwangu na nimejiajiri ila tupo Mji mmoja.

Nimeshajaribu sana kumuacha nimeshindwa basi angalau nipunguze tu. Nimefungua jina jipya kwasababu maalumu.
Ukisikia mwanaume anakwambia wewe una mambo mengi maana yake hakuamini, anahisi unamcheat. Huenda uko busy sana kwenye social media unachat chat sana unajipost post, una mashost waasioeleweka. Hata mimi ni kauli ambayo uwa ninaitumia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom