chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,260
- 870
wewe upo form ngapi? umejuaje kama ana mimba? siku ya pili inaendeleaje kukua? je ni mimba au shahawa zinaendelea? halafu kuwa na uandishi mzuri. kuhusu msaada mlete huyo uliyezini nae nimfanyie uchunguzi wa papuchi yake kwa kutumia kipimo cha abdalascope.
Habari wana Jf wenzangu. Mwenzenu nimefanya mapenzi na Dada mmoja ambae nimwanafunzi wa Form five tuli tumia Kondom lakini kweli ile Kondom haina mana ilitoboka bahati mbaya bilakujua na mimi nikajikuta nimesha mwaga ndani.
Sasa nisaidieni njia yoyote ili Mimba isiendelee kukuwa ni Siku ya pili leo toka tufanye mapenzi. Jamani naomba kama hutaki kuchangia usintukane .
asanteni.
Nimepata nime mpa kimoja naw kwani dozi ni kwasiku ngapi inatakiwa
Poa poa nimempa ngoja nisubiri majibu wengine eti wanasema izo zinaweza zicfanye kaz ss wana nichanganyaHaina dozi mkuu, we ukishampa kidonge kimoja basi umemaliza kazi.
Usithubutu kumpa zaidi ya kimoja.
Kwa siku mbili tu huwezi kujua kama kanasa au hajanasa. Tulia tulia mpaka mzungo wake wa hedhi ufike, akiukosa basi mpeleke akapime. Mpaka kondom inapasuka inaonekana mapenzi yako ni ya nguvu nguvu sana.
Haina dozi mkuu, we ukishampa kidonge kimoja basi umemaliza kazi.
Usithubutu kumpa zaidi ya kimoja.
Wacha utoto wewee.
Nani kakwambia ukimwaga ndani ni lazima mimba iingie.
Wakati mwingine siyo kutumia nguvu. Huyu jamaa hakuondoa hewa wakati wa kuvaa condom. Ni vizuri wakati wa kuvaa kushikilia kichwa cha condom ili hewa isiingie.
ha ha ha kijana unaumiza mbavu zangu weee.unachezea utam eenh?
hahahaaa! kijana alijua sana sema tu ishu ilikuwa tam sana!
wewe upo form ngapi? umejuaje kama ana mimba? siku ya pili inaendeleaje kukua? je ni mimba au shahawa zinaendelea? halafu kuwa na uandishi mzuri. kuhusu msaada mlete huyo uliyezini nae nimfanyie uchunguzi wa papuchi yake kwa kutumia kipimo cha abdalascope.