Nisaidieni jamani

Nisaidieni jamani

Sasa hapo unataka ushauri gan?...... Uwamuzi ni wako.
 
kubali tu ukweli kuwa yule ni mume wa mtu.na kizuri ulikua hujui sasa unajua yatakuwa ni makosa makubwa kuendelelea na huo uhusiano umri wako bado mdogo, tulia tu utampata ambaye ni chaguo sahihi.
 
ushauri gani tena unataka hapo?!!...acha kumharibia mwanamke mwenzako familia yake, huyo jamaa si yupo kwake, mwambie basi muishie hapo, heshima kwa mkewe! kama unapenda (maana naskia kuna mapenzi ya kweli mtu haskii la muadhini wala mnadi swalah) endelea kujisemia mamaake kwa raha zako usimwachie,kitu cha makamo hicho kinasimamia shoe mbaya siyo vijana wa sku hizi nyenyenye tu!
 
Dada kwaiyo unataka hadi uchorewe ndo uone kama hilo ni shimo na unatumbukia?af umri wako mdogo sana aisee.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
ushauri gani tena unataka hapo?!!...acha kumharibia mwanamke mwenzako familia yake, huyo jamaa si yupo kwake, mwambie basi muishie hapo, heshima kwa mkewe! kama unapenda (maana naskia kuna mapenzi ya kweli mtu haskii la muadhini wala mnadi swalah) endelea kujisemia mamaake kwa raha zako usimwachie,kitu cha makamo hicho kinasimamia shoe mbaya siyo vijana wa sku hizi nyenyenye tu!

jamani wewe
 
kubali tu ukweli kuwa yule ni mume wa mtu.na kizuri ulikua hujui sasa unajua yatakuwa ni makosa makubwa kuendelelea na huo uhusiano umri wako bado mdogo, tulia tu utampata ambaye ni chaguo sahihi.

asante sana kwa ushauri nimeshachukua hatua na nimeshatoka kwake, namuomba Mungu anisaidie sasa kupata mtu sahihi kwa maana kwa akili zangu siwezi tena bali nguvu zake yeye
 
25-30yrs not married?? Na huduma zote hizoo??? Inaonekana hata kufanyiwa pssss ni shidaaa. Ndiyo maana alipotekea huyo MKIKUYU ukamg'ang'ania kama kupe. Kama unabisha tupia pichaaaa

weka picha ya baba yako kwanza inawezekana ndiyo huyu mjaluo na inabidi uniheshimu inawezekana wewe ndiyo niliyekuwa nakulipia ada,
 
Yaani wewe dada mbona una haraka?? Bado una mda tuu wa kupata mwanamme,, huyo hakufai kabisaaa.. Toka ndukiiii..
Hivi wanawake mbona mko desperate kiasi hiki??
Jamani tuache kuwananga wanawake ambao hawajapata waume maana haya ndio matokeo yake.. Mtu yuko teyari aende kwa mwanamme ambaye hana sifa ya kuwa mme just for the sake of marriage... Ptuuuuuu hata kama wameisha tanzania nzima mwanamme kama huyo hafai bora ubaki single tuu..
 
Pole sana,nashindwa kuelewa watz tuna tatizo gani,madini yetu yaibiwe,gesi yetu iibiwe dada zetu wanatapeliwa
kweli hata nikikupa ushauri naogopa nao matapeli watautapeli tu yaani ni shida!
 
ushauri gani unataka hapo?nawe umekuwa wa ajabu mbona?unataka kuweka maisha yako rehani?angalia usije kulia kilio cha mbwa koko,mlaghai huyo hakufai anataka tu umtunziewatoto wake half akupige teke la nguvu,kwaza unabebeleza nnikwake?watu wengine bwana???????????????
 
Unaposema hutapata mtu mwingine sikuelewi! Hapo my dia hamna future, anza maisha mapya. Jamaa anaonekana muongo muongo sana na ameshakusoma kuwa kwake hupindui ndo mana hata anafanya hayo yote. Kimbia mdogo wangu hilo jumba bovu
 
Back
Top Bottom