Nisaidieni jamani

Nisaidieni jamani

nitafnya vitendo sasa hakuna maneno tena hapa eti sasa ndiyo naona hata age yetu imepishana sana jamani kwa kweli nilikuwa sioni
Nahisi alikiwa nae anakupa vitu adimu, ad ukamuona kama agement wako
kweli mapenzi upofu (wapenzi vipofu)
 
ushauri wako ni mzuri sana kaka yangu najua umeandika mambo mengi ambayo nayaona yote ni ya mana, macho yangu au akili yangu ilikuwa imefungwa lakini sasa imefunguka nakushukuru sana, asubuhi nitaneda kwake kuchukua gari yangu maana alikuwa natumia kwa kuwa sasa yeye hakuwa nayo na kuchukua vitu vyangu baadhi. sitaacha kuwa shukuru asanteni sana

Mamaaaa kweli mapenzi nisokote sokote kama ganja, yani hadi gari umempa na funguo kabisaa...wew kabila gani kwanza. ..mchaga mim nianze tuu kukuachia hata funguo wa tranka langu loooo.umekwisha. .tena nenda kwa akili koz anaeza kukufanyia kitu kibaya sana..usimuendee ghafla atazimia aki Yahoo ruwayeomii ...muundie zengwe hata umfumanie na kidemundo umbwage pwaaaaaaa
 
Unataka ushauri gani sasa! Mtanzania unadanganywa hadi na mkenya we ni mkuda haswa ndiyo maana ata ulidanganywa ushauri wa nini na unajijibu na huku bado unaomba ushauri. Kajishauri mwenyewe.
 
yaani pamoja na kuugundua uongo wote huo eti hutaki kuachana nae na kusonga mbele aiseeeee unajua kupenda
 
25-30yrs not married?? Na huduma zote hizoo??? Inaonekana hata kufanyiwa pssss ni shidaaa. Ndiyo maana alipotekea huyo MKIKUYU ukamg'ang'ania kama kupe. Kama unabisha tupia pichaaaa
 
Hivi wewe...unachotaka ni ushauri ama unajaribu tu kukorofisha watu?
Mtu unainvest time kusoma thread mwishoni ujinga. Argh.
:angry:
 
Pole nikushauri mambo mawili lakwanza hakuna mapenzi hata kidogo ikiwezekana kaanaye mbali haiwezekani akudiche then upate uwakika baada ya uchunguzi na mwanamke wake akasema anaitaji msaada kutoka kwako kwa hiyo wewe endelea na mmewe hapa changanya akili kibaya zaidi anawanawake wengine kutoka mtandaoni hii mbaya sana
Jambo la pili nionavyo Mimi kinachokusukuma kufanya hivyo ni kutokana na umri umekwenda hili nitatizo linaowapata wanawake wengi wanaokata tamaa jaribu kufikiria nikweli uharibu maisha yako kutokana na umri? Huyu anamke. Huyu simtanzania. Huyu anaendelea kutafuta wanawake kwenye mtandao yote haya yatakuwa machungu zaidi ya umri ulionao

Wanawake wengine msiingie kwenye mausiano kwa kupenda kitu nasio mtu au kutokana na umri majuto yake nimakubwa kuliko ukipenda kutoka rohoni
 
Pole nikushauri mambo mawili lakwanza hakuna mapenzi hata kidogo ikiwezekana kaanaye mbali haiwezekani akudanganye then upate uwakika baada ya uchunguzi na mwanamke wake akasema anaitaji msaada kutoka kwako kwa hiyo wewe endelea na mmewe hapa changanya akili kibaya zaidi anawanawake wengine kutoka mtandaoni hii mbaya sana
Jambo la pili nionavyo Mimi kinachokusukuma kufanya hivyo ni kutokana na umri umekwenda hili nitatizo linaowapata wanawake wengi wanaokata tamaa jaribu kufikiria uharibu maisha yako kutokana na umri? Huyu anamke. Huyu simtanzania. Huyu anaendelea kutafuta wanawake kwenye mtandao yote haya yatakuwa machungu zaidi ya umri ulionao sasa

Wanawake wengine msiingie kwenye mausiano kwa kupenda kitu nasio mtu au kutokana na umri majuto yake nimakubwa kuliko ukipenda kwadhati/QUOTE]
 
bora ufuge beberu unywe mchuzi kuliko hilo penzi ulilolibemenda.Umeshajua ukweli na bado unajipa matumaini ya kipuuzi hahahaha mapenzi msukule hayo ni hatari kwa afya.
 
Back
Top Bottom