dogo gia tu hiyo ya kukuzingua....komaa naye utapata mazuri..
Ha ha haa..kukataliwa mbona kawaida.
Tafuta mwingine!
kama amekujibu hivyo basi usimtajia tena piga nae storty kama kwaida atajiingiza mwenyewe,punguza BP..
asikushughulishe sanaa wako wengi wenyewe style kama yake ya sitakinataka, usimpigie wala usimu SMS jikaze kiume atarudi tuu kwako...stori tutapigaje wakati simu hapokei
asikushughulishe sanaa wako wengi wenyewe style kama yake ya sitakinataka, usimpigie wala usimu SMS jikaze kiume atarudi tuu kwako...
Jikaze Kiume,na usisahau kua wapo wengi huyo asikuzuge akili yako..Mbona hilo suala gumu si atasepa kimoja
Jikaze Kiume,na usisahau kua wapo wengi huyo asikuzuge akili yako..
nipe maujanja
How Old are you?
Wewe ni wale wakimsalimia mwanamke akitabasamu wanakimbilia nyumba za wageni kuchukua chumba.unatia huruma kweli.unaonyesha unapenda mteremko sana.:target:Umepewa kitofa tuuuuuu
Baraka tatizo Lako hauna subira ktk Hilo.kukataliwa mara moja si sababu ya kukimbilia huku na kulialia.mtoto wa kiume wewe kuwa mvumilivu msome anataka ni ni then peleka mashambulizi tena.au ukishindwa tafuta kuwadi akusaidie
KWanza, umeniudhi sana umenitoa kwenye thread ya mdada wa watu mumewe kajigeuza mashine ya kutotoa watoto kuja huku kusoma utoto wako..
PIli, kuna demu gani Dar hii yuko single? huyu wako ni special na umenifanya niwaze mengi sana..alidhani atakuchuna kirahisi asepe akikuambia yupo single wewe ulivo mzabzab ukaingia na gia ya kike eti nakupenda! shabash...hayo maneno hayasemwagisemwagi tu hovyo dogo...unadhani unaact movie hapa unamuona leo kesho unatangaza ndoa!??
Alafu ukishampenda unataka kumfanya nini? Upo Mwanza yupo Dar...!!!!!!
And then, umesema umelia!!! REALLY mwanaume!???????
Msaada wangu ni ungoje ukue aisee...you wil understand things better!!! wat a kid....:A S angry:
Watu wengine sijui mtajua lini kutongoza...hicho ulichofanya ni kama umetoa tamko tu.
Itabidi nianzishe column ya steps za kufanya kumleta mwanamke himayani.