KWanza, umeniudhi sana umenitoa kwenye thread ya mdada wa watu mumewe kajigeuza mashine ya kutotoa watoto kuja huku kusoma utoto wako..
PIli, kuna demu gani Dar hii yuko single? huyu wako ni special na umenifanya niwaze mengi sana..alidhani atakuchuna kirahisi asepe akikuambia yupo single wewe ulivo
mzabzab ukaingia na gia ya kike eti nakupenda! shabash...hayo maneno hayasemwagisemwagi tu hovyo dogo...unadhani unaact movie hapa unamuona leo kesho unatangaza ndoa!??
Alafu ukishampenda unataka kumfanya nini? Upo Mwanza yupo Dar...!!!!!!
And then, umesema umelia!!! REALLY mwanaume!???????
Msaada wangu ni ungoje ukue aisee...you wil understand things better!!! wat a kid....:A S angry: