baraka boki
Senior Member
- Sep 20, 2010
- 181
- 80
- Thread starter
- #61
hapa kwenye kuonesha vitendo ndo huwa napataga tabu,maana kuna mabinti wengine hawataki hata ivo vitendo vyako,kwa mfano utakuta mwengine ukimpelekea zawadi anakataa,ukitaka kumtoa out anajifanya yuko bize na wakati mwengine hata simu hapokei wala meseji hajibu na unafanya haya yote kuonesha ni kiasi gani unamjali na kumkumbuka kila siku but yeye hata habari nayo hana kabisaaaaa!au wakuu nyie mnakusudia vitendo gani?
Mkuu bora uongee wewe maana demu Hata ukimuonyesha unampenda vipi yeye haonyeshi action yoyote .Tatizo watanzania wanapenda kuiga mapenzi ya kizungu wakati hawawezi mi nikimpenda demu namtongoza hivyo hivyo hivyo kwa wiki moja akikataa basi najaribu mwingine kwa sababu the higher the risk the higher the return.