nisaidieni jamani!!

ndani ya mwaka mmoja na nusu tu kishakuwa bored! akifikisha miaka 20 au 30 si ndiyo hatataka hata kumuona?
cartura vitu vingine ni factor ya emotions za mtu binafsi. Mfano mimi umenioa hata likizo tu siend kwetu kufanya nini? tunaandamana hadi kieleweke nikienda kwetu tuko wote na tunalala pamoja nikienda kwenu vivyo hivyo na likizo tunachukua pamoja siyo mm mwezi wa sita wewe dec hamna kitu.

lakin kuna mwingine akikaa na mume wiki tu wameshaanza kuchokana. sasa mtu wa staili huu huwa una mwambia ajipe nafasi kidogo ili akammiss ndipo penzi litarudi kuchanua mwache aende ili hata kama kuna zilizipendwa anataka akafanye malipizi ndio nzuri zaid atarudi akiwa settled kuliko hivi hata kumuona hataki.
 
Last edited by a moderator:
sasa naenda kujaribu ingawa naona kama nitakuwa nabakwa tu maana cna hisia
 
jamani sio scapper!!
GALIMA nisemapo scraper namaanisha wanaume ni watu ambao tayari walishatumiwa na mtu mwingine yaani %kubwa hawaoi wakiwa mabikira kama ambavyo wanawake wengi wanalewa wakiwa mabikira. lakin simtusi wa kumoyo wako mpenzi.
 
Last edited by a moderator:
GALIMA nisemapo scraper namaanisha wanaume ni watu ambao tayari walishatumiwa na mtu mwingine yaani %kubwa hawaoi wakiwa mabikira kama ambavyo wanawake wengi wanalewa wakiwa mabikira. lakin simtusi wa kumoyo wako mpenzi.

ooh kumbe!!!nilikuwa cjui.daaa!!kweli scrapper maana wanapita kwingi hawa watu bwana.aah yani nikifikiria na hayo mbona patakucha sebulen
 
Last edited by a moderator:
kiac but moyo wangu upo upo tu anatia huruma

....lazima atie huruma, fikiria mkeo hataki kuongea nawe siku nzima hakwambii chochote kilichojiri na si ajabu umemwambia hakuna lolote uko poa tu....Anaweza kudhani labda kuna njemba ambayo inatafuna mali yake. Fikiria kama ndio yeye angekua hajisikii kuongea nawe kwa siku nzima? Ungejihisi vipi? Kwanini usijilazimishe tu kuongea naye?
 
Well said. This is a problem currently disturbing you. The main question you have is "AFTER ONE AND HALF YEAR OF LIVING IN MARRIAGES PLUS SIX YEARS OF PLAYING ON EACH OTHER, NO FRUITS OF THE WOMB HAS BEEN OBSERVED/ YOUR HUSBAND HAVE FAILED TO PRODUCE SPERMATOZOA TO FERTILIZED YOUR OVUM? Somehow this makes you sick and you see your husband just like to have sex for pleasure and not for bringing the fruit of the womb to the family. Think of this, you seems to think of being a mother more than a wife and you think that your husband cannot make it happen. How can I advice you on this, nawaachia waliokwenye ndoa muda mrefu, I have only 4 years in marriage with 1 daughter. KAUNGA can you please advice here


mbaya zaid bado cna mtoto je nikimpata nahic kama hali itazidi.nifanye nn??
 
no ckuwahi kuchezewa kabla ya ndoa aliniheshimu and i was at school.hata baada ya ndoa nilikuwa bado nasoma.naye alikuwa nje ya nchi thats why tumechelewa kuzaa.
 
Back
Top Bottom