nisaidieni jamani!!

lolz @kogosho mbona unaanza usukununu kama Bishanga?

labda tumuulize GALIMA ana muda gani katika ndoa yake? na je leo ndio mara ya kwanza kwa hali kama hii kumtokea? ajibu kwanza haya ndipo nimpe majibu muafaka

nina mwaka na nusu kwenye ndoa.tangu nimfahamu nina miaka6
 
Last edited by a moderator:
nina mwaka na nusu kwenye ndoa.tangu nimfahamu nina miaka6


sasa mdogo wangu GALIMA kwa muda wote huo wa mwaka na nusu ndio unapatwa na hali hii leo kwa mara ya kwanza? possible causes zaweza kuwa mimba, hormonal effects especially before mp, mood tu kutokana na upepo mbaya mawazo may be unawaza ama kuna kitu ulikiwaza sana na hukukipatua majibu, wakati mwingine kutokufikiwa kwa malengo yako kunaweza kukusababishia.

ushauri wangu pia ujauzito kama huna zygote basi give your self a break nenda likizo hata wiki hivi ili ummiss mwenzio. manake kuonana kila siku na kulala kila siku pamoja inaboa kweli kwani mtazoeana kupita kiasi.
 
Last edited by a moderator:
muda wa kulala umefika ctaman hata kulala naye kitanda kimoja.bado sebulen na jf
 
labda umepata bwana a.k.a kidumu...

kaka yangu wa moyoni nimekupa like si kwamba nimependa ulichokisema la ila nataka nikufunze jambo hapa.

hivi scraper unalo nyumbani haya ujiongezee scraper jingine la nini? wa ndani kila siku anakupitisha njia moja mara 7 haya ujiongezee na mwingine wa kitu gani lolz.watawapateni wanafunzi ila walioko kwenye ndooa zao mmewakosa.
 
game pia humpi? hebu jitahidi kurejea hali ya kawaida, mume asije akakuona kisirani na kukutafutia msaidizi..hawakawii wale wenzetu!!
 
give your self a break nenda likizo hata wiki hivi ili ummiss mwenzio. manake kuonana kila siku na kulala kila siku pamoja inaboa kweli kwani mtazoeana kupita kiasi.

ndani ya mwaka mmoja na nusu tu kishakuwa bored! akifikisha miaka 20 au 30 si ndiyo hatataka hata kumuona?
 
game pia humpi? hebu jitahidi kurejea hali ya kawaida, mume asije akakuona kisirani na kukutafutia msaidizi..hawakawii wale wenzetu!!

well said... kuna wengine hawana muda wa kubembeleza mtu anayenuna bila sababu
 
muda wa kulala umefika ctaman hata kulala naye kitanda kimoja.bado sebulen na jf
GALIMA uwe makini san ausije lala na watoto bure ukamuachia baridi.
my take nenda rum kwako vaa night dress yako nzuri ndani usiweke chupi, kaa kwenye kioo chana nywele na paka wanja na lip stick haya yafanye baada ya kuoga upya kwa maji ya oto kiasi.

kisha washa ile taa ya mahaba hapo chumbani kama ipo halafu toa shuka alilijifunikia weka shuka jingine kutoka kabatini tena ikiwezekana lipitishe pasi liwe la motomoto kidogo. haya mfunike na wewe uingie humo. akiitafuta network wewe weka kabisa cm on hadi ikubali. ukifanya tu najua hamu itarudi. usimwache peke yake ma dia.

wakati uko kwenye majamboz uwe unasali kimoyomoyo kemea kabisa na sema Mungu akusikie juu ya viungo vya mumeo mwambie Mungu naomba uviteke vungo hivi kwa damu ya Yesu viwe ni vya mali yako tu na si ya mwanamke mwingine kahaba popote pale taja kimoja kimoja usiogope kisha takasa na vya kwako. tena sema kabisa kwamba unataka vitumike kukupa raha ile ambayo Mungu ameikusudia aliaposema walalapo wawili wapata ajira njema kwa kazi waifanyayo.
haya nenda sasa hivi baada tu ya kusoma maelezo haya.
 
Last edited by a moderator:
leo ctaki hata mgusano.anatia huruma
GALIMA naiona shida hapo ila nenda kwanza kampe liwazo kesho miye kungwi wako nitakupa mengine. Jua kuwa ibilisi kakusimamia anataka kukushataki usiwe mjinga lol!hata kama nyege hamna nenda kazitafute kwa kuoga na kukaa mapozi yake ya kiuchokozi mamii itafute network chezeya sh chooni weye?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom