INgawa ni kipundde tangu nitoke huko so sina utaalamu na ni jinsi gani masuala ya huko kwetu yanavyoenda lakini nitaongelea kitaalamu kwani niyo ni fani yangu na ni CCNA holder.
Kipindi unachagua ISP kunavitu vya msingi ambavyo unatakiwa kuangalia so kwanza ninahitaji kujua baadhi ya haya mambo ili yanisaidie katika kujua je unahitaji kitugani lakini nitajitahidi kufafanua kidogo.
Jambo la kwanza na lamuhimu ni kuangalia kati ya hizo computer zako 20 ulizosema je unahitaji mfumo gani wa kuziunganisha,hapa nina maana kwa siku hizi za karne ya 21 watu huwa wanaangalia privacy kwa umakini sana sasa kama wewe unahitaji kuziunganisha zote bila ya kuwa na privacy yoyote hapa nina maanisha kuwa mtu aliyekatika computer yoyote anauwezo wa kuona trafic zote nina maana you are in the same collisin domain basi unaweza kununua hizi Router kwa ajili ya soho ambazo zinafanya kazi kama Switch ila ni router(Inbuilt switch)so wewe huna tatizo ni kitendo cha kwenda kununua IP moja toka kwa huyo ISP wako yeyote vle na kuset DHCP(Dynamic Host Control Protocol) ambayo inagawa LOCAL IP kwa kila device inayotuma request hii tunaifananisha na Dynamic NAT ambapo hutumika sana punde unapohama toka ISP mmoja kwenda mwingine.Ni easy hata mimi naweza nikakutumia manual jinsi ya kufanya hivyo na baada ya hapo kama kawa ila cha muhimu tu inatakiwa ununue Bandwidth kubwa kidogo so kama una computer nane nadhani 8MB inatosha ni kama za watu wa wireless kwakuwa kama una PC 20 nadhani huna matumizi makubwa sana pia hata 4MB si haba.(Note:Unanunua IP moja tu)
La pili ni kuwa kama unataka kidogo kuwa na kajiprivacy basi hapo mkuu huna haja ya kutafuta router mimi ninapendekeza ununue CISCO router kwani ndio zipo kwenye market sana,unaweza pata 26*** series zinatoa tu then ukamtafuta mtu ambaye ataifanyia mambo.kwa bahati nzuri kwa sasa Cisco router zote zinakuja na kitu kinaitwa CNA(Cisco Networking Assistan) ambayo ina GUI(Graphical User Interface) wewe ni kubonyeza next next nakuingiza data chache then kitu mwake mambo ya command line Interface ni mambo ya akina Shy,so maisha hapo yanakuwa rahisi kidogo.
kama utanunua hiyo router hakikisha ni new version then hata mimi ninaweza kukusaidia kuconfigure punde baada ya kuistall CNA na kuweza unganisha PC moja nitakuambia ni nini cha kufanya(Tunatumia Telenet au SSH) ila kwa sababu za kiusalama huu sio ushauri mzuri kwani usiamini kila mutu.
NInahitaji details kidogo ili nikushauri zaidi,je hizo PC 20 zinatumikaje,kama ofisi ni kazi aina gani,zipo eneo moja au tofauti...
Sorry kwa maneno mengi si unajua si wengine ngenga tushazoea tena.