Mkanya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 599
- 14
JAMANI WASAMALIA WEMA NAOMBA MSAADA WAKUMFAHAMU ISP(INTERNET SERVICE PROVIDER)AMBAYE ANAFANYA KAZI NZURI MAAANA NAHITAJI HUDUMA YA INTERNET Ni katika Jiji la Dar es salaam ni maitaji katika office,nilitaka niweke ya ttcl bussness broadband lakini nikaona niwaulize kwanza wataalamu kabla sija ingia TTCL,nilikuwa nahitaji internet ambayo ni faster na IDADI YA Computer ZIPO 20 kwa ajili ya internet,So kuna Company nyingi lkn sifahamu zinavyo fanya kazi kama Simba net,iWAY na nyinginezo sasa naomba kama kunamtu ana uzoefu na hawa ISP anisaidie nimchague anaetoa huduma nzuri bila kullimit Computer,au hata kama wapo wale wanao toa huduma kwa satelite nayo pia itafaa,maana nahitaji kazi nzuri Bila malimitation ya ajabuajabu,Naomba mnisaidie basi kama kuna mtu anafahamu hawa jamaa wanaotoa huduma hizi za internet.