Nisaidieni huu ni aina gani ya ubabe?

Paul mathew

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
275
60
Kuna rafiki yangu wa karibu sana, mke wake hv majuz aliamua kumwachia mtoto wa miez 8 na kusafiri kuja Dar kwa madai ya kuja kumwona mamdogo wake, lakin hakufika hata kwa mamdogo badala yake alienda kwa mwanaume kulala nae usiku kucha jamaa alipompigia sim usiku alipokea mdume, hebu msaada wenu wana jf.
 
Hapo penye red hapo, huyo dada anamuacha mtoto wa miezi 8 anaenda kulala kwa mwanaume mwingine then unauuliza ushauri? Ushauri gani sasa? Labda kukufumbua macho inawezekana hata huyo mtoto wa miezi 8 huenda si wake na anahangaika kumlelea mwanaume mwenzake mtoto!
Fukuzia mbali, heri ya lawama kuliko fedheha, Loh!
 
aina gani ya ubabe? definitely ni ubabe wa kike hasa anapogundua kwamba mumewe ni *****
 
Coz huyu mwamke alienda dar kiubabe hakurusiwa na mumewe, kumbe alikuwa amepewa promise tayari so it wa too difilcut to postpon.
 
Ukisikia mtu anamchinja mwenzie kama kuku ndio hali kama hiyo unamuacha mtoto wa miezi nane unaenda kulala na mwanaume mwingine akaona haitoshi ili kudhihirisha kabisa kwamba kaenda kumegwa anapigiwa simu anampa mwanaume apokee hapo ndio ninapochoka kabisa nifikiria kuhusu wanawake
 
Pole sana wewe Mwanaume Uliempokea kisha ukalala nae mwanamke aliemuacha mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miezi nane,Pole sana ndugu yangu napita tu Comrades
 
Hii sasa imevuka mipaka hata kama ni mpango wa kando huu hapana
Kwani aliona amwonyeshe wazi kabisa kuwa kalala na mwanaume
Kwa kumpa simu aongee na mumewe?? Hapo hakuna ndoa
ampeleke mtoto kwa mama yake au dada amlele mpaka akue kidogo
 
Mbaya zaidi mkuu, mtoto alisumbua sana usiku ule alilia sna utadhani alijua mama ake anachokifanya kwa wakati ule. Hii ni laana sijawahi ona.
 
Hapo hakuna cha ubabe kaka, huyo mwanamke ana roho mbaya, ngumu na chafu....vinginevyo huyo mtoto sio wake wa kumzaa.. Akapimwe akili manake....

Hana akili kabisa kwasababu angekuwa nayo asingethubutu kuacha mtoto wa miezi 8.. Mtoto??? No!
 
Kuna rafiki yangu wa karibu sana, mke wake hv majuz aliamua kumwachia mtoto wa miez 8 na kusafiri kuja Dar kwa madai ya kuja kumwona mamdogo wake, lakin hakufika hata kwa mamdogo badala yake alienda kwa mwanaume kulala nae usiku kucha jamaa alipompigia sim usiku alipokea mdume, hebu msaada wenu wana jf.

Pole sana mkubwa ndio ukubwa huo, kua uyaone
 
Jamani, msilaaani sana huyo mwanamke, hiki kizazi ndio kiko hivyo-kuna mengi hayasemwi au kuandikwa yanayofanana na hayo! Tukubali yaishe, Bahati mbaya hali ndio iko hivyo !!!
 
Je ushauri waachane? Au jamaa avumilie amsamehe? Ila mm niliona ntavunja ndoa, ingekua ni mimi ningeshamwacha siku mingi sana.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom