Nisaidieni hili

Nisaidieni hili

Magoa

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
28
Reaction score
5
Habari zenu wandugu bila shaka mnaendelea vema basi leo ni jambo moja lina nisumbua kichwa hivi nini siri ya usingizi ?
 
Attachments

  • MAGOA.jpg
    MAGOA.jpg
    33.4 KB · Views: 88
Ni kulala a.k.a kumbonji , kugona, kuutungua, kuufinya , lepe .
 
Biblia inasema, Mungu humpa mpenzi wake usingizi....
Hiyo ndiyo asili ya usingizi!!

BTW: Kwa nini umeamua kuweka taswira mnato yako, unatafuta mchumba au?

Magoa
 
Biblia inasema, Mungu humpa mpenzi wake usingizi....
Hiyo ndiyo asili ya usingizi!!

BTW: Kwa nini umeamua kuweka taswira mnato yako, unatafuta mchumba au?

Magoa

Nimeamua kuweka hiyo face tu hapo ni msisitizo wa hicho nilichouliza hapo
 
Biblia inasema, Mungu humpa mpenzi wake usingizi....
Hiyo ndiyo asili ya usingizi!!

BTW: Kwa nini umeamua kuweka taswira mnato yako, unatafuta mchumba au?

Magoa

Hatudanganyiki.......
 
Hiyo face ni yako? Naona nimekuzimia.

Wewe demu niaje? Mbona leo umecharuka hivi? Umekesha humu aisey!
Huo muda uliokomenti kwenye huu uzi unaonaje?
Au uko na mastress mingi? Au P anakubania yale mambo yetu? Sema tukusaidie.
 
Wachache wenye uwelewa kwani mlio wengi dunia imewashika kila wakati na saa za karibu yenu mnawaza upuuzi tu imeweka hapo mpate kumtambua mleta mada sio kwa jina tu bali kwa sura pia sasa nyie mwajadili picha badala ya mada husika
 
Kwani hujaona jibu langu pale juu...

Btw: Hivi unajua kitendo tu cha kuianika hiyo fesibuku yako umesababisha watoto wote kulikimbia jukwaa....usiniulize kwa nini, ni kwamba fesibuku kama hiyo hutumika kutishia watoto wasiopenda kulala..

Back
Top Bottom