nisaidieni hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidieni hili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eversmilin Gal, Oct 15, 2012.

 1. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe uko kazini halafu ukamuacha rafiki yako anakula good time na laaziz wa moyo wako kisa eti unamuamini huyo rafiki yako kweli,
  mimi nina wivu ctembei naye cjui anayofanya ila hilo la wao wale gud time wakati cpo mmmmm,,,, cjui kwa wewe upande wako
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,790
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  MALARIA HAIKUBALIKI!weeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,121
  Likes Received: 3,040
  Trophy Points: 280
  Kuna mengi ya kujadili hapa.Ila ni hatari kufanya haya.OUT OF TOPIC:uandishi wa kuweka herufi kama "cjui" ni wa kitoto sana,hauvutii!
   
 4. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Na waweza kufa ukawaachia
  watu wanaponda maraha...niwakwako ukiwa naye kama hapo ni vema ukamsahau its only if wataka kuishi maisha marefu
  otherwise ukichokonoa chokonoa mbona utakufa siku si zako??????
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,420
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  mmh! mbona mdogo wangu leo sikusomi vzr? yaani uko job hubby yuko na a friend of yours wana kula good time???

  there are a lot to discuss here kwanza tuanze hivi

  huyo rafikiyo ana mume?
  kwanini ueke imani ya namna hiyo?
  ulishawah kumuhakikishia kuwa mbadala wako on your absence?
  mumeo hana hofu ya kukuumiza?
  wewe je huna wivu kias kwamba ukaweka mipaka kwenye mahusiano yako?
  kazi yako itachukua muda gani?
  humwamni mumeo kias cha kuona bora umpe shosti kuliko aende akatafute mwenyewe kitaa?
  ulishawah kujaribu kufanya hivyo kwa mume wa shosti wako?
  urafiki wkao ni kama wangu na cacico kwamba we can share anything incluiding waume (joke) lol!
  unao watoto?
  yaani haya ni maswali robo tu ya niliyotaka kuyajua kwanza kabla sijaanza kuchangia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  wote watatu wakapime akili
   
 7. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,234
  Likes Received: 7,893
  Trophy Points: 280
  VEVE IKO KABIDHI SIMBA BUCHA YAKO ILINDE KISA SIMBA NAKWAMBIA YEYE IKO NA ALLERGY YA NYAMA!!!!!!!!!!!!! Hahahaaaa! U gotta be kidding me!!!!!! Sometimes huna mpango na bidhaa ila ukipewa OFA NZURI wanunua tu, sasa utafanyaje? Kuku kaingia mwenyew bandani, manati ya nini?
   
 8. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wakiswazi@work
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,420
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  watoto wa mjini tunasema chapa ilale.............mwizi haambiwi kaiba iwapo mali yako umeipeleka kwake wew mwenyewe.
  lakini lara 1 kwani kukopesha tapeli ni kosa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unaovutia ni upi
   
 11. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  ah wee demu wangu atakuwaje karibu sana na bdsty mpaka akae nae peke yke? ah wanaume hawana dogo wanamega tuu ata kama anajua huyo ni demu wa besti wake
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  ngoja niwaache wafu wazike wafu wao.
   
 13. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,832
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  hii sientertain kabisa, kwani watu hutambulishana kama kaka na dada KUMBE NYUMA YA LENS......Don't try this in yo relationship, chochote chenye miguu miwili hakipaswi kuaminiwa
   
 14. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,149
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Umeona eeh! Its not healthy kwa kweli. Kuna bint alimuamini mdogo wake(wana share baba) akawa anatoka na mchumba wa dada lunch, mara outing za usiku yeye amechoka anabaki home kutahamaki jamaa kageuza kibao akaoa mdogo mtu! Hapana chezea midume.
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,445
  Likes Received: 1,222
  Trophy Points: 280
  nifafanulie kula gud time kwanza labda ndio nitaweza kifunguka...
   
 16. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 1,977
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Naomba nikusaidie kidogo. Kwavile unampenda sana Laaziz wako na pia rafiki yako ni shoga ako wa kufa mtu, kwanini upate shida Bana, Kula threesome kunako sita kwa sifa.
  Jamani Eversmillin Gal! Imeandikwa kizuri kula na rafiki yako.
  Sasa wewe shida yako nini kula na rafiki yako?
  Kama umeweza kushirikiana naye kwa kila jambo kwanini isiwe ub00?
  Acha roho mbaya, kwani roha mbaya hailipi!


  Bazazi!
   
Loading...