Nisaidieni hapa wanajamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni hapa wanajamii

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by madata84, Feb 23, 2011.

 1. m

  madata84 Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naomba mnisaidie kazi nimemaliza Diploma ya social science na ndani ya kozi nimesoma masomo kama sociology, psychology, methods of social science research, field work and field report writting haya ni baadhi ya masomo katika kozi niliyosoma, naomba kwa yoyote atakayeguswa anisaidie hata kupitia ndugu, jamaa au rafiki anayejua atawezakunisaidia kwa hili awasiliane nami kwa email yangu madata84@yahoo.com asanteni mbarikiwe sana.
   
Loading...