unlucky
Senior Member
- Aug 9, 2011
- 199
- 56
Hamjambo ndugi zangu za masiku nimeona nije tena humu nimezidiwa na mawazo na matatizo mengi labda kati yenu anionyeshe njia ya kwenda kupata haki yangu na watoto, nazani story zangu mnazijua tangia mwanzo huyu bwana bado ananifollow sasa anataka kuchukua watoto anataka aniendeshe niwe as slave ndo anipe hao watoto je inawezekana hebu semeni nyie mie sie mkewe bado ananifuatilia anasema ye atachukua watoto awalee nifanyeje sasa