Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,883
Habari JF
Leo nimeota ndoto mbaya sana, naomba kuiewakilisha ili kama kina mtaalamu wa masuala ya ndoto nk aweze kunisaidia.
Nilipewa mchongo na aliekuwa jamaa yangu(simkumguki) ila alikuwa mwanangu sana, maana tulikuwa wote kwenye shida na raha, mtaelewa hapo baadae!
Akaniambia Mr Kuna kazi ya kuiba pesa pale kituo cha polisi siraha na mbinu zote zipo, pale tunaenda kuchukua pesa na kuwa Matajiri sana. Nikasema maisha ndio haya Sasa, nikasema fresh naomba nikaone siraha ili tukachukue utajiri kituo cha polisi.
Mission lilikuwa hivi, tunaenda kuchukua kama 2m pale polisi alafu 6m tunapitia nyumbani kwa babu Yangu mana ni karibu sana na kituo cha polisi.
Hivyo basi tulikuwa watu watatu kwenye hilo tukio wote siwakumbuki ila tulikuwa na mmoja wetu ambae ana kimo cha utu uzima kama miaka 52 hivi.
Basi tulifa kwa kuingia ndani ya kituo piga risasi nyingi sana, sasa kuna askari mmoja alikuwa kashika zile pesa alafu mgumu sana kufa.
Nikaona kama anatucheleweshea muda, nikaenda pale nikampiga kama risasi kumi za kichwa nikaona haitoshi nikachukua mafuta ya petrol nikamwagia mwili mzima nikampiga moto.
Lengo Langu ni kupoteza ushahidi kabisa.
Baaada ya kufanya tukio lile mmoja wa majambazi wenzetu alionekana kutopenda nilichokifanya nikampotezea, sasa ili tunaondoka ile 2m alibeba yeye!
Sasa wakati tunakaribia kufika nyumbani kwa babu kuchukua ile pesa nikakuta polisi kibaoooo alafu yule mwenzetu yuko ana wadirect polisi kuwa watakakuja tu.
Nikamwambia mwanangu mmoja kuwa tumeingizwa Cha kike! Tukatupa bunduki tukakimbia sana polini na tumekula sana maembe.
Tunalala hovyo sana.
Nikawa ninajilaumu sana vipi kuhusu Safari ya elimu Yangu ndio inaishia hapa manaa siwezi kwenda chuo mana natafutwa na polisi kijiji kizima, vipi kuhusu wazazi Wangu daah najuta sana
Baada ya hapo nikashituka nikiwa na maumivu mengi sana.
#Kama kuna mtu ana elimu yoyote ya ndoto naomba anisaidie mana sio kwa ndoto hiii
Kwako ndugu Mshana Jr na watafsiri wengine.