nisaidien rafiki yangu huyu na matumizi yake.

lizzy we sio mbongo nini?...hiyo ndo kazi ya kwanza ushaambiwa mwanaume pesa sura peleka kwenu
Kwahiyo kila mbongo anafikiria hivyo??Basi mimi inawezekana sio mbongo kamili...ngoja niongee na mama usikute baba sio baba!
 
kwa bahati mbaya 'boom' halijui! Angekua anapata hiyo si ingekuwa balaa! Anyways, tumia pesa ikuzoee bt sio kiivyo! Wengine tushaanza kumis bum 2natamani kurudi upya chuoni!
 
Ukiona hivyo ujue baba yake anazo

mimi nimesoma na watoto wa aina hiyo....

Wewe unafikiri hiyo laki 5 nyingi kumbe mwenzio sio pesa kabisa

jiulize sekondary alisoma wapi?
Na high school alisoma wapi?

Utakuta alisoma shule alizolipa miliioni kadhaa ada....

Na pengine mchezo wa kula ada kaunza zamani...

unajua kama ni marafk huw story kama hizo za kujuana huw zipo, kwamb kwe2 2po hv au tupo vile..kama hizo story hazitakuwepo bac unaweza kumgundua kwa kumwangalia mambo anayofanya,kama ni matajir bas utamwna mara kwa mara na Nguo mpya,viatu,vyakul vyak anavyokula e.t.c kama weny pesa wanavyoonekana.. Lakn kwa huyu sio hvyo.. Kama ingekuw kwao ni matajir wala nicngeangaik kuweka thread hii. Maana nitaönekan kama namwonea wivu vile,..
 
Kwani kazi ya mwanaume ni kumpa mwanamke pesa?Kwa mawazo mtaenda hata kuiba ili kuwaridhisha wapenzi wenu.

Sikiliza Lizzy! Ci kwamb kazi ya mwanaume ni kumpa pesa mwanamke! Ila inaonyesha kuwa unamjali na kumdhamin kwa kiasi fulani.. Mfan unawez kumpa pesa kulingana na tatizo/shida fulan, lakin kwa ki2 muhimu tu, si kwa ajili ya kufanyia stareh ambazo hazina mpango.. Anawez kukuomb vocha ukampa.. Lakn kwa yule atakae vocha mara kwa mara, leo,kesho,mtondo,na mtondo goo..cidhan kam hik ki2 ni cha kawaida.
 
hivi na wewe huoni lipi la kufanyaa? kama atm card yake anakupa , na kiasi cha ada anachodaiwa unakijua . KUMSAIDIA NENDA KATOE HELA KISHA KAMLIPIE MKABIDHI RECEIPT, akitaka aichane au akakopee chips, hilo ni zigo lako.
 
Back
Top Bottom