nisaidien rafiki yangu huyu na matumizi yake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidien rafiki yangu huyu na matumizi yake.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by RGforever, Apr 14, 2011.

 1. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Habar zenu wangwana humu ndani! Na2main mpo poa, na kwa wale wanaojisikia vibaya poleni..Sasa nina rafiki yangu wa kike hapa chuoni, ambae anapend sana kunishirikish katik mambo yake kama marafiki lakini kuna ki2 kimoja kinanitatiz katik matumizi yake.. Yeye hachukui mkopo ila BABA yake ndo anamlipia, sasa mzee wake alim2mia sh. 500,000 kwa ajili ya kulipa ada nusu ya ile anayodaiwa, lakini baba yake akamwambia atoe kiasi cha sh. 470,000 halaf elf 30,000 ai2mie kwa mda wa kama wiki halaf atam2ia laki nzima baadae, lakin cha kushangaza kila mara huyu bint ninapomshaur atumie pesa yake vizur ili asubir hyo pesa ambayo baba yake atam2mia ndo hata hakuelewi, sasa ajaenda kulipia hiyo ada na anakula ile pesa, mi napenda kwend mjin kwa ajil ya shughul zangu,bas ndo huwa achok kuniagiz na Atm card yake."oh leo nilete sh.20,000" baad ya sik moj imeisha, unamkuta anakula chips,mayai na kitimoto..ukimwambia..Sasa kashamaliza kama laki 2, na haujapita hata mwezi, nikimuuliz hana cha kusema....! Ushaur nimempa wa kutosha lakin hata haeleweki.. Sipend m2 anae2mia pesa bila kujiuliz mzaz wake anatesekaje huko..sasa ninatak ushaur kutok kwenu wanajamii nimwambieje ili aelewe? .. Asanteni.
   
 2. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  There are several things hapa
  1. Anajua anaweza kupata hiyo pesa sehemu fulani, ( Wenda anaamini hata wewe utamsaidia, Cause wewe ndie unaeenda kuzitoa kwenye
  ATM.
  2. Huyu raafiki yako hajitambui, ( Kumsaidia (abadilike) mtu wa jinsi hiyo ni kazi sana,
  3. Nahisi pia mkumbo ni tatizo kwake.

  I would advise you, so long as ni rafiki yako, anza ku-save ili uje umsaidie, Or zungumza nae vizuri akueleze ukweli anategemea nn after kumaliza kula ADA kwa kununua MDUDU.........
   
 3. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Sikio la kufa halisikii dawa. Binafsi nakushauri huyo dada hafai kuwa mke kwani baba yake hamsikilizi pia naona hata wewe hazingatii ushauri wako na hata matumizi yake ni juu sana. Piga chini huyo mtu atakusumbua mbele safari
   
 4. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  kuna siku alinipa ATM card yake nikamtolee pesa! Ila nikasema sitakutolea mana nataka ulipie ADA ya chuo kwanza hata kama utabakiwa na pesa ndo jikaze ili usubiri baba atakapoku2mia hiyo pesa wik ijayo.. Sasa akaona, ni wazo zuri, lakin cha kushangaz badala ya kusubir akaanz kukopa kwa wa2! (Kabla sijaenda kulipa hyo ada) Na baadae akaja akaniambia "unajua kuna wa2 wananidai pesa na sijawalipa mpaka leo, sasa naomba, ukanichukulie kwanza 30,000, halaf 2taangalia hiyo ada nitalipaje?"
   
 5. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  hapana umenipata vibaya mi nina mpenz wangu na huyu ni kama rafiki yangu 2, ambae 2mejuana hapa chuoni.. Nashukur lakn kwa ushaur huo.
   
 6. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Akili yake bado haijakomaa huyo. Hayo mambo huwa yanafanywa na watoto wa secondari wanakula Ada na hawajui watapata wapi ya kulipia. KAma yuko chuo na anafanya upuuzi huo hasara kwake. Shida nyingine wanafunzi wengi wa vyuo wanaishi maisha ya juu utadhani wanafanya kazi. Matokeo yake kuingia katika mitego ya umalaya usiokuwa na msingi, ili mradi na wao waishi maisha ya juu. Bila hata ya kuzingatia uwezo wa familia zao. Kwa kuwa ni rafiki yako unaweza fanya kitu kimoja. Akikutuma kutoa pesa ATM Toa kiasi cha kutosha nenda kamlipie ADA najua atachukia mwanzo, lakini baadae atakupenda kwa kumuokoa. Wakati mwingine hawa watu wanahitaji kusukumwa katika maamuzi.
   
 7. v

  van victor Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aise mwambie akubaliane na hali ya maisha ya kwao. Then nexty time mshaur amwmbie babaake alipe ada thru bank yeye ampe tu paying slip. tangu ampe iyo elfu 30 yakutumia ni mda gani umepita?
   
 8. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,076
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  kama hasikii muache,siku akidaiwa cheti na baba yake ndo atakapojinye.....!!!!!!!!!!!!
   
 9. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Pole na rafiki yako, inaonyesha una mcare sana, angalia usije hamisha mudawako mwingi kumshughulikia yeye ukamsahau mpenzi wako, becareful myfriend, All you are doing for her is what we call love.
   
 10. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  ngoja nifanye hiki ki2..nashukur mana nilijarib mara ya kwanz nikaona atachukia nikaacha! Leo ngoja nimfuate na kesh nikalipie .
   
 11. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  wala hili haliingilí penz langu hata kidogo.
   
 12. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Kwavile kimebaki kiwango kidogo cha pesa inabid nikalipe hicho hicho na atajua pa kureplace...
   
 13. v

  van victor Member

  #13
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We fanya ivyo mkuu ila mpe taarifa kwanza.
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kuna msemo unasema Tumia pesa ikuzoee.
  Labda rafiki yako ndio anauapply.
  Swala la budget kwa wanachuo wengi huwa ni utata.
  Hiyo iliyobaki kamlipie kinguvu umpelekee risit.
  Mnaaminiana sana eeh hadi kupeana kadi za benki na password!!
   
 15. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Huyo naona kaja hapo kimakosa, wenzie wapo F IV. Ahaaaaa, huenda alisikia tangazo la fataki, ATM.
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi sijawahi kupata bahati ya kwenda kujilipia ada mwenyewe.Sijui na mie ningekua nafanyia starehe...!Nwy kama mwenyewe hajali unaweza kumwacha maana inawezekana mwenzako anajua wapi atapata nyingine.Au kama ulivyoshauriwa hapo juu mlipie kwa lazima!Hongera kwa kumjali sana mwenzio!
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Ukiona hivyo ujue baba yake anazo

  mimi nimesoma na watoto wa aina hiyo....

  Wewe unafikiri hiyo laki 5 nyingi kumbe mwenzio sio pesa kabisa

  jiulize sekondary alisoma wapi?
  Na high school alisoma wapi?

  Utakuta alisoma shule alizolipa miliioni kadhaa ada....

  Na pengine mchezo wa kula ada kaunza zamani...
   
 18. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Asante kwa ushaur wenu! WanaJF .
   
 19. c

  ccr airtel Member

  #19
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mshauri atafute bwana mapema wa kumjazia hiyo Ada
   
 20. c

  ccr airtel Member

  #20
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ila kwel binadam tumeumbwa tofauti wengine tunatafuta ada wenyewe na kujilipia...eti mwingine anapewa Ada afu anakula...ndo maana na ujamaa uka fail
   
Loading...