Kijana huyu ataacha kumchukia mama yake na kumuona mbaya

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
"Mwanangu ahsante sana na nimefarijika kwa kunikumbuka na kunitafuta, mimi ndiyo baba yako na ujue tu kuwa una baba mmoja tu, huna baba wawili.

Mama yako ndiye alitaka haya yote, alinizuia mimi kuwa karibu na wewe toka ukiwa na miaka 6, alikuweka mbali nami na kwenda na wewe nisikokujua.

Nashukuru kwamba umekuwa mkubwa sasa na unasoma chuo kikuu, mimi nakukaribisha kwa mikono miwili mwanangu, ombi lako la pesa za ada nimelisikia.

Sasa chukua hii M2 kalipe ada hiyo 1.2M then 800K baki nayo. Pia umeniambia huna simu, okay chukua hii iPhone 14 yangu ina mwezi mmoja tu, ngoja niirekebishe nikukabidhi.

Mwezi ujao jiandae nikupeleke shopping moja kwa rafiki yangu ukanunue jeans na nguo nyingine, bibi yako anakuulizia mno mwanangu na ana hamu mno ya kukuona.

Baba yako mdogo naye ana hamu mno ya kukuona, wewe si yatima mwanangu, una ndugu zako wawili wa kike, na mmoja mdogo wa kiume, nao wanakuulizia sana na wana hamu ya kukuona.

Ngoja nikupe namba ya bibi yako na ya baba yako mdogo wa Dubai... ooh nilisahau chukua pia na namba ya babu yako anakuulizia mno, amekuwekea ng'ombe wako kijijini.

Ngoja nitamuambia umenitafuta mwanangu, kisha utampigia.

Oooh nilisahau, kuna laptop pia ina miezi miwili tu, ni ya Apple nimeona huna pc mwanangu, ngoja nifute acc's zangu nikupe.

Namlaumu sana mama yako, yaani amekujaza sumu kuwa mimi nilikutelekeza ukiwa na miaka 6? Ila ndiyo wanawake walivyo."

Je, huyu kijana ataacha kumchukia mama yake na kumuona mbaya?
 
"Mwanangu ahsante sana na nimefarijika kwa kunikumbuka na kunitafuta..., mimi ndiyo baba yako na ujue tu kuwa una baba mmoja tu, huna baba wawili.

Mama yako ndiye alitaka haya yote, alinizuia mimi kuwa karibu na wewe toka ukiwa na miaka 6, alikuweka mbali nami na kwenda na wewe nisikokujua...

Nashukuru kwamba umekuwa mkubwa sasa na unasoma chuo kikuu, mimi nakukaribisha kwa mikono miwili mwanangu... ombi lako la pesa za ada nimelisikia...

Sasa chukua hii M2 kalipe ada hiyo 1.2M then 800K baki nayo. Pia umeniambia huna simu, okay chukua hii iPhone 14 yangu ina mwezi mmoja tu, ngoja niirekebishe nikukabidhi...

Mwezi ujao jiandae nikupeleke shopping moja kwa rafiki yangu ukanunue jeans na nguo nyingine... bibi yako anakuulizia mno mwanangu na ana hamu mno ya kukuona...

Baba yako mdogo naye ana hamu mno ya kukuona... wewe si yatima mwanangu, una ndugu zako wawili wa kike, na mmoja mdogo wa kiume, nao wanakuulizia sana na wana hamu ya kukuona...

Ngoja nikupe namba ya bibi yako na ya baba yako mdogo wa Dubai... oooh nilisahau chukua pia na namba ya babu yako anakuulizia mno, amekuwekea ng'ombe wako kijijini...

Ngoja nitamuambia umenitafuta mwanangu, kisha utampigia...

Oooh nilisahau, kuna laptop pia ina miezi miwili tu, ni ya Apple nimeona huna pc mwanangu, ngoja nifute acc's zangu nikupe...

Namlaumu sana mama yako... yaani amekujaza sumu kuwa mimi nilikutelekeza ukiwa na miaka 6? Ila ndiyo wanawake walivyo,..."
Amka bro.
 
Maisha ni wewe, sisi ni nani haswa kukupangia ukiamua kula bata na Single Mothers?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
"Mwanangu ahsante sana na nimefarijika kwa kunikumbuka na kunitafuta, mimi ndiyo baba yako na ujue tu kuwa una baba mmoja tu, huna baba wawili.

Mama yako ndiye alitaka haya yote, alinizuia mimi kuwa karibu na wewe toka ukiwa na miaka 6, alikuweka mbali nami na kwenda na wewe nisikokujua.

Nashukuru kwamba umekuwa mkubwa sasa na unasoma chuo kikuu, mimi nakukaribisha kwa mikono miwili mwanangu, ombi lako la pesa za ada nimelisikia.

Sasa chukua hii M2 kalipe ada hiyo 1.2M then 800K baki nayo. Pia umeniambia huna simu, okay chukua hii iPhone 14 yangu ina mwezi mmoja tu, ngoja niirekebishe nikukabidhi.

Mwezi ujao jiandae nikupeleke shopping moja kwa rafiki yangu ukanunue jeans na nguo nyingine, bibi yako anakuulizia mno mwanangu na ana hamu mno ya kukuona.

Baba yako mdogo naye ana hamu mno ya kukuona, wewe si yatima mwanangu, una ndugu zako wawili wa kike, na mmoja mdogo wa kiume, nao wanakuulizia sana na wana hamu ya kukuona.

Ngoja nikupe namba ya bibi yako na ya baba yako mdogo wa Dubai... ooh nilisahau chukua pia na namba ya babu yako anakuulizia mno, amekuwekea ng'ombe wako kijijini.

Ngoja nitamuambia umenitafuta mwanangu, kisha utampigia.

Oooh nilisahau, kuna laptop pia ina miezi miwili tu, ni ya Apple nimeona huna pc mwanangu, ngoja nifute acc's zangu nikupe.

Namlaumu sana mama yako, yaani amekujaza sumu kuwa mimi nilikutelekeza ukiwa na miaka 6? Ila ndiyo wanawake walivyo."

Je, huyu kijana ataacha kumchukia mama yake na kumuona mbaya?
too good to be true
 
Bandiko lako limeanza na uhalisia, ila kadiri ulivyoendelea kuandika, ikawa kama unaandika ndoto
 
Hamna kitu hapo, umeharibu bandiko na hayo mambo ya iphone 14 Ina mwezi na laptop ya apple sijui Ina siku ngapi?

Inaonekana huyo baba kama anataka kutumia material kununua upendo
 
Kabisa watoto wanahitaji real love na siyo hiyo iphone. Kama hujawekeza upendo kwa mtoto trust me hata uje ufanyeje huwezi kuwin upendo wa mtoto. Nima ushuhuda kuna dada alizaa na mwanaume kumbe alikua mume wa mtu alimficha. Baadae wakaachana yule bwana akamtelekeza mtoto bi dada akakomaaa alipata mwanaume mwingine akaolewa. Yule mtoto akakua amefika kidato cha sita baba ake ndo akajileta uzuri mama mtu hakua na hiyana akamuita mtoto wake akamwambia baba yako anahitaji kuongea na wewe. Mtoto akaenda kuonana naye akaanza ooh mwanangu nataka nikakutambulishe kwa wenzio mara oooh nataka nikupe urithi wako ,,mtoto akamjibu sikutaka yote nilitaka mapenzi yako ulikuwa wapi kipindi chote hukuwahi hata kujua nilikua nakula nini napata napambana vipi na changamoto. Mtoto akasema yule baba mlezi aliyenilea hadi leo ndio baba yangu ninayemjua.

Yule bwana akaondoka na aibu zake. Wanaume wengi wapo hivyo halafu baadae badala ya kukiri makosa yao wanaanza kulalamika kuwa mama ndo anawalisha sumu mara mama aliweka uzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mwanangu ahsante sana na nimefarijika kwa kunikumbuka na kunitafuta, mimi ndiyo baba yako na ujue tu kuwa una baba mmoja tu, huna baba wawili.

Mama yako ndiye alitaka haya yote, alinizuia mimi kuwa karibu na wewe toka ukiwa na miaka 6, alikuweka mbali nami na kwenda na wewe nisikokujua.

Nashukuru kwamba umekuwa mkubwa sasa na unasoma chuo kikuu, mimi nakukaribisha kwa mikono miwili mwanangu, ombi lako la pesa za ada nimelisikia.

Sasa chukua hii M2 kalipe ada hiyo 1.2M then 800K baki nayo. Pia umeniambia huna simu, okay chukua hii iPhone 14 yangu ina mwezi mmoja tu, ngoja niirekebishe nikukabidhi.

Mwezi ujao jiandae nikupeleke shopping moja kwa rafiki yangu ukanunue jeans na nguo nyingine, bibi yako anakuulizia mno mwanangu na ana hamu mno ya kukuona.

Baba yako mdogo naye ana hamu mno ya kukuona, wewe si yatima mwanangu, una ndugu zako wawili wa kike, na mmoja mdogo wa kiume, nao wanakuulizia sana na wana hamu ya kukuona.

Ngoja nikupe namba ya bibi yako na ya baba yako mdogo wa Dubai... ooh nilisahau chukua pia na namba ya babu yako anakuulizia mno, amekuwekea ng'ombe wako kijijini.

Ngoja nitamuambia umenitafuta mwanangu, kisha utampigia.

Oooh nilisahau, kuna laptop pia ina miezi miwili tu, ni ya Apple nimeona huna pc mwanangu, ngoja nifute acc's zangu nikupe.

Namlaumu sana mama yako, yaani amekujaza sumu kuwa mimi nilikutelekeza ukiwa na miaka 6? Ila ndiyo wanawake walivyo."

Je, huyu kijana ataacha kumchukia mama yake na kumuona mbaya?
Haina uhalisia
 
Kwa nini page hii kila mtu wasifu wake lazima aseme chuo acheni ushamba sasa vyuo vipo kibao ni pesa yako tu sasa mwanafunzi wa chuo ni wakawaida Sana tofauti na ile miaka 90 na 2000
 
Pia hii namba ya Bakhresaa ni shemeji yangu kwa hiyo wewe unamuita mjomba.

Back
Top Bottom