yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,527
- 1,405
yani ilikua ajari mbaya sana nikajikuta nimeoa mke,ambaye muda mfupi bdae nikagundua hanifai,nakiri nilikurupuka,simmaind *ila yy hajui na sitaki agundue mapema,ananipenda ila me no! so nataka njia ambayo haina mafarakano ya muda mrefu na nikimuacha nisipate lawama mazee watu wote wakubali.*ila kumbuka sbb ya kutaka kumiacha sio tamaa,moyo wangu hauna tabia hazendani,sijisikii kuwa nampenda nk.