my advice, kama wamesha zaa nae, asijali sana,wanaume hawachungiki dada,atapata stress bure!! cha msingi ampe counceling
Habari yako mkubwa!
Nenda kamwambie mtoto mwenzako kuwa acheni mapenzi ya utotoni.
++Hivi hadi kwenye kuandika mtu anaweza kubana pua eenh!!!++
Hahaha, nahitaji twisheni ya mwandiko wa kubana pua. Dah.
Hahaha si unaona hiyo slang hapo juu...ili kuielewa inabidi ufanye imaginations za muongeaji aliyebinya pua