Nisaidien-kampun inakufa hamna wateja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidien-kampun inakufa hamna wateja

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mopalmo, Sep 4, 2011.

1. M

Mopalmo JF-Expert Member

#1
Sep 4, 2011
Joined: Nov 11, 2010
Messages: 454
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
wakuu nawasalim,tatizo langu ni kwamba tuna kampun yetu mimi na kaka yangu inajishughulisha na electrical repairs,instillations,repairs of ac and generetors,ina wafanyakaz watano,kampun yetu ina mwaka mmoja tu japo kabla ya hapo tulikua tukifanya kaz japo haikua rasmi naomben ushauri jinsi ya kufanya niweze kupata tenders maana tumekua tukifanya kazi ndogondogo tu ambazo hazikidhi gharama za kuendesha kampuni hata kuwalipa wafanyakaz imekua ni tatizo kwa sasa

2. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#2
Sep 4, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
kupata tender hasa serikalini ukipiga kazi ofsini unaenda kufanya wayaringi nyumba nzima ya aliekupa tena bure..................sijui ka utaweza mkuu

3. M

Mopalmo JF-Expert Member

#3
Sep 4, 2011
Joined: Nov 11, 2010
Messages: 454
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

Hiyo kali mshkaji ila npo tayari maana hali n mbaya

4. L

LAT JF-Expert Member

#4
Sep 4, 2011
Joined: Nov 20, 2010
Messages: 4,523
Likes Received: 86
Trophy Points: 0
mkuu ... je kampuni yenu imesajiliwa na CRB (Contractors Registration board) under electrical and mechanical category ?

hicho ni kigezo kikubwa sana cha kupata kazi katika bids and tenders

kama umesajiliwa ... tengeneza company profile halafu sambaza kwa makampuni ya ujenzi na institutions zinazojenga kama NSSF, NHC na kadhalika ... pia fuatilia matangazo ya kwenye magazeti yanayotangaza pre qualification of contractors

i wish you good luck

5. Shine

Shine JF-Expert Member

#5
Sep 4, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Mwombe Mungu saoa akuongoze ktk kutafuta hizo tenda

6. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#6
Sep 4, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,506
Likes Received: 2,248
Trophy Points: 280
kwanza kwa kampuni changa kuajiri wafanyakazi permanently ni gharama isiyo ya lazima. mnaweza kuajiri kwa contracts. strategy ya kwanza ni kupunguza matumizi hadi kipindi mtakapokua imara.
pili,jaribu kufuatilia tenda ndogo ndogo na kujitangaza. kuwa na business cards full advertise,kila anayekusalimia unamtwisha yake etc. otherwise fukuzia tenda ndogondogo taratibu utakua juu. kila la kheri

7. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#7
Sep 4, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,132
Likes Received: 5,571
Trophy Points: 280
amen
aliempa ufunuo wa kampuni amwombe huyo huyo ampe kupata tendaa mbona rahisi sana teeeeeeeeendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wemaa nenda zakkkkkkkkkkooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

8. B

BSCLtd. Member

#8
Sep 4, 2011
Joined: Dec 26, 2010
Messages: 25
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Sisi (mimi na partner wangu) tulikuwa tupo kwenye mchakato wa kuanzisha kampuni ya Services za repair and maintance ya Electrical pamoja na plumbing. Kampuni moja yenye division mbili tofauti namely, Electrical and Plumbing. Hatujaanzisha bado tulikuwa kwenye kukusanya data.

Kama upo tayari kuongea namna tutakavyoweza kuwa joint venture au kufunguwa kampuni mpya, yeyote tukayaona ina maslahi zaidi kwa pande zote mbili. Tafadhali tuwasiliane kwa namba hizo hapo chini wakati wowote tuongee zaidi.

Sisi tayari tuna kampuni zetu zingine zinazofanya kazi, moja ya kuchimba visima vya maji na moja ya Business Consultancy, (si hizi za electrical) na tunataka watu serious kwenye kazi na si wakupotozeana muda.

Naitwa: Abdul Ghafur, Namba zangu za simu ni: +255773484384 ofisi zetu zipo Sinza.

9. Yeccotltd

Yeccotltd JF-Expert Member

#9
Sep 4, 2011
Joined: Apr 4, 2011
Messages: 201
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Pole sana kamanda! Kupa wateja kunahitaji uwe na mtandao mkubwa!

Lakini semu kuu ya kupata wateja ni kuwajua makandarasi wenzio!

Kesho tarehe 5 mpaka tarehe7 bodi ya makandarasi CRB imeandaa semina ya Makandarasi wote tz itafanyika mlimani city na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Kikwete nakuomba uhudhurie ikiwezekana tuonane mkuu! 0715865544/0755...

COMPANY PROFILE

· Legal Status:

YECCO (T) LIMITED was registered and incorporated under the Companies Act No. 12 of 2002 Cap 212 of the United Republic of Tanzania and holds a Certificate of Incorporation No.72307 of August 2009.

· Office particulars:

Business Name: YECCO (T) LIMITED.

Postal Address: P.O.Box 25295, Dar es Salaam

Cell: +255755865544/ +255715865544

Email: yeccotltd@yahoo.com

Our office is allocated at Samora Avenue Street, Plo.35k/ Blo.342ks. With modern

WORKSHOP full equipped for fast and timely repair. The company holds all relevant

documents as required by Tanzania Government.

· Understanding

Our approach to all client services is founded on our understanding of business needs and problem within our country and environment. We only render service, which we believe to be beneficial to our client. Our understanding of local business environment and the vast expertise and experience of our staff, place YECCO (T) LTD in a strategic and advantage position to fruitfully execute any project in areas of information technology.

· Technical

The company main target is to provide reliable, faster and cost effective services in

Electrical, computing and communication industry to both public and private sector. We offer consultancy services, skilled and well trained workmanship in the field of Information Technology from installation, maintenance and services to agencies within Tanzania. Service rendered includes; communication equipment installations, Network (both structural and general networking), service to communication equipment and maintenance in general.

Nimekupa kipande cha Company Profile

Waweza kuingia hapa ili kuijua vizuri!

YECCO (T) LIMITED Details http://bit.ly/qYJI1s

Loading...