Nisaidien jinsi ya kufanya practical ya quatlitative analysis O-level

Chukua acid uweke kwenye beaker.. Then weka indicator kwenye acid.. Weka base kwenye ile ya ku titrate (sikumbuki inaitwaje).
fungulia koki ya base mpaka pale. Indicator itapokuwa neutral.
Funga koki ya base then soma readings umetumia V ngapi ya base na v ya acid tayari si unayo.. Then baada ya hapo chukua kalculator ukokotoe.. Haya mambi nimeyasoma 15 yrs ago.. Sikumbuki vyema.
 
Mwl wa sayans amesahau,wakuu msaidieni asije akawalisha tango pori wadogo zetu
 
Chukua acid uweke kwenye beaker.. Then weka indicator kwenye acid.. Weka base kwenye ile ya ku titrate (sikumbuki inaitwaje).
fungulia koki ya base mpaka pale. Indicator itapokuwa neutral.
Funga koki ya base then soma readings umetumia V ngapi ya base na v ya acid tayari si unayo.. Then baada ya hapo chukua kalculator ukokotoe.. Haya mambi nimeyasoma 15 yrs ago.. Sikumbuki vyema.
Hahahahhahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....hii n volumetric analysis mkuu...................ye anataka qualitative analysis ..n masuala ya chumvi chumvi ka sikosei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua acid uweke kwenye beaker.. Then weka indicator kwenye acid.. Weka base kwenye ile ya ku titrate (sikumbuki inaitwaje).
fungulia koki ya base mpaka pale. Indicator itapokuwa neutral.
Funga koki ya base then soma readings umetumia V ngapi ya base na v ya acid tayari si unayo.. Then baada ya hapo chukua kalculator ukokotoe.. Haya mambi nimeyasoma 15 yrs ago.. Sikumbuki vyema.
hio co qualitative mkuu unayoongelea ni titration hiyo
 
Kwanz kunakuw na chemicals kadhaa ambzo zitatumika kutest sample au compound mara nying n inorganic cpds ambzo ni salts.
Utaanz hatua ya kwanz appearance,yani color,structure.then kuna action on heating yani unaheat chumv yako,then kuna solubility katika water na other solvents.baada ya hapo znakuja chemical test inategemeana na chumvi unaeza ukapewa ammonia,sodium hydroxide,hydrochloric acid.etc usisahau kila test kuiandkia observation na inference yake pamoja na procedure kam uvoelekezwa.ni simple sana
 
Back
Top Bottom