Nisaidie wakuu kabla ya likizo jF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidie wakuu kabla ya likizo jF

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Babkey, May 11, 2012.

 1. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Ni hili, binafsi jibu silifahamu.
  Jamaa alimkabidhi Mzee wake 50000/=
  Baadae akaanza kuchukua kidogo kidogo.
  Mchakato ulikuwa kama hivi;
  50000/=
  Alichotoa ~~~~kilichobaki
  .................................................
  20,000/= ~~~ 30,000/=
  15,000/= ~~~15,000/=
  9,000/= ~~~6,000/=
  6000/= ~~~0000/=
  ..................... ....................
  50,000/= ~‎~‎51,000/=
  ..................... .....................

  Kwanini kuna tofauti kwenye jumla
  na mzee alitoa pesa yotebila kubakiza!?
   
 2. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  chemsha bongo yako iko lala
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ....sure!
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  MATHEMATICALLY Hii APPROACH NI WRONG COZ HUEZ JUMLISHA KILICHO BAKI MWANZO NA KILICHO CHUKULIWA MWISHO, MFANO KA MA HAPO KATK HATUA YA 2 ASINGE CHUKUA 15000 INSTEAD AKACHUKUA 10000 SO UKIJUMLISHA VILIVYO BAKI NI 50000, SO UNATAKIWA KUJUMLISHA KILE KILICHO CHUKULIWA NA KILE KILICHO BAKI PALE ALIPO CHUKUA MARA YA MWIISHO.
   
 6. m

  mbambaguy JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukjumlsha alchotoa utapata jbu sahh
   
 7. m

  mmc Senior Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  rudia kujumlisha utapata jibu.
   
 8. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  kapumzike babu....

  logically huwezi kupata jawabu lolote la msingi kwa kujumlisha vitu "vilivyobaki" kwenye kila stage ya hiyo transaction yako...ni maharage jumlisha sukari..hapana jibu kamili..ha ha
   
Loading...