Nisaidie nikusaidie,natoa ili nipate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidie nikusaidie,natoa ili nipate

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mwana Mnyonge, Nov 22, 2011.

 1. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  kuna mtu ametafuta kazi kwa muda mrefu sana hajapata mvumilivu umemshinda ,yupo tayari kutoa pesa ili apate kazi kwa mtu ambaye atamsaidia kwa hilo hata kumconnect na mtu ambaye anaweza kumsaidia,ana bachelor ya accounting .anategemewa na familia yake msaada jamani

  ambaye yupo tayari ani PM.
   
 2. M

  MPIZO New Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni jinsia gani maana kama mwaname atatusumbua sana taja jinsia yake ili tumsaidie, alafu amemaliza chuo gani na mwaka gani na amefauluy kiasi gani
   
 3. c

  cielo Senior Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizo pesa ni bora utoe sadaka kwa wasiojiweza na Mungu atakupa kazi.
   
 4. C

  Coolbaby Senior Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nikweli kabisa wala hata hujakosea
   
 5. b

  bro kobe New Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ongeza juhudi katika sala na pia usikate tamaa,utapata 2 job ila patakawia aya ndio matunda ya miaka 50 ya uhuru
   
 6. the leader

  the leader Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jinsia tena mkuu? vipi kuhusu "equal opportunity employers?"
   
 7. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,043
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mwanaume atawasumbua kivipi?
   
Loading...