hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,684
- 27,607
Habarini ndugu zangu, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nimekwama ada kias cha laki mbili, nipo dar, naomba kwa yeyote anikopeshe kwa dhamana ya cheti changu cha Form 6.Nitamrudishia muda muafaka, nimepambana lakini jitihada zangu zimegonga mwamba.
Kwa anayehitaji ushahid na ninaposoma na other documents, njoo Pm
Nisaidien ndugu yenu nahitaji kumaliza chuo, ni mwaka wa sita sasa nashindwa kuhitimu masomo kwa sababu ya ada, nikishindwa huu mwaka, utakuwa mwaka wa 7. Natamani na mimi nihitimu masomo nilisaidie taifa langu, Naombeni nikopeshwe kiasi hicho.
Asanteni