Nisaidie kushare - mashairi

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
865
Wakuu hali zenu.... nimejaribu kutafuta lyrics za huu wimbo nimekosa. Nimeamua kusikiliza na kuandika mwenyewe.... je hivi ni sahihi?

1 Naomba unisaidie kushare, naomba unisaidie kushare x 2
2 naomba unisaidie kushare,
3 nisaidie kushare, naomba unisaidie kushare

4 hiyo ndiyo game ya sasa, game ya instagram ama facebook pia twiter
5 less writting rhymes, more taking pictures
6 funny ndio game wanayofanya hivi sasa, game ya adv na caption
7 kwenye mitandao promo mwezi mzima, song wanaiachia mwezi ujao
8 mwezi mzima mambo ya nisaidie kushare, baba lao hadi naona noma
9 sione nawaletea zarau na ukizingatia sharing is caring

10 force imetulia aihitaji kuomba mi-nitasheri, wengine wanaferi
11 wanaomba niwasaidie kushare? hata bila salam?really?
12 watu wakata wasikize track kwa redio,tunashare tu mapics kumbe track yenyewe sio
13 bora wale wanaoniomba kupost matukio, naletewa video naombwa kubofya link kwenye bio

14 samahani brother, naomba unisaidiekushare
15 naomba unisaidie kushare
16 samahani dada, naomba unisaidiekushare
17 naomba unisaidie kushare
18 nisaidie kushare, naomba unisaidie kushare

19 samahani brother, naomba unisaidiekushare
20 naomba unisaidie kushare
21 samahani dada, naomba unisaidiekushare
22 naomba unisaidie kushare
23 nisaidie kushare, naomba unisaidie kushare

23 samahani kwani nimekukwaza babalake?hilo kweli ukubalike
24 mimi wa analog, sio wa social network
25 nyie ni instagram ndiyo imefanya mkubalike
26 mambo ya photoshoot, hamna i used to, is that a ney bang
27 lakini inahusu press tv, many viewers kwenye youtube,
28 many followers kwenye ID ndio utusu,thats how powerful social media is,
29 ila dailly kwamba mtusaidie kushare social media, please, kila saa mmeshare bado DJ hapigi
30 piga turn-up plan B tena immediatelly

31 unawasikia tunajuwana na hawajanisaidia kushare, nawasikia tu wamevuma na vichip wanavyotoa,
32 sina lawama na flan, support hajawahinigea na nikiona amepost nami-repost nitakumegea

33 samahani brother, naomba unisaidiekushare
34 naomba unisaidie kushare
35 samahani dada, naomba unisaidiekushare
36 naomba unisaidie kushare
37 nisaidie kushare, naomba unisaidie kushare

38 samahani brother, naomba unisaidiekushare
39 naomba unisaidie kushare
40 samahani dada, naomba unisaidiekushare
41 naomba unisaidie kushare
42 nisaidie kushare, naomba unisaidie kushare

43 text inaingia like six in the morning, six in the morning
44 somebody stressin me in the morning, like naomba unisaidie kushare
45 text inaingia like six in the morning, six in the morning
46 somebody stressin me in the morning, like naomba unisaidie kushare


samahani brother, naomba unisaidiekushare
naomba unisaidie kushare
samahani dada, naomba unisaidiekushare
naomba unisaidie kushare
nisaidie kushare, naomba unisaidie kushare

samahani brother, naomba unisaidiekushare
naomba unisaidie kushare
samahani dada, naomba unisaidiekushare
naomba unisaidie kushare
nisaidie kushare, naomba unisaidie kushare
 
Back
Top Bottom