Nisaidie kupata namba za mtu uyu

ligolyser

Senior Member
May 9, 2013
155
15
Habari wanajanvi,naitaji namba za wale jamaa wanaonunua magari yaliyopata ajali ama kwa tatizo lolote na wao kuyachinja na kuuza kitu kimoja kimoja kutoka gari husika, tafadhali kama unafahamu pm namba zao au ntafute kwa 0756664797,.comment za mzaha apa sio mahali pake naitaji msaada
 
mkuu una gari gani?
maana toyota zinachinjwa mabibo/manzese machinjioni, landrover zinachinjwa temeke mwembe yanga na benzi zinachinjwa kurasini mivinjeni. sasa we sema gari yako aina gani ma model gani ili usaidiwe.
 
Back
Top Bottom