Nisaidie kujifunza linux..

Tell us and what about from advanced user context ?????????.
Mtu kakwambia hajui hata distros za linux zilizopo ulimwenguni, huo u "Advanced user context" utatoka wapi hapo?

Nimesema kuboreshwa kwa Graphical User Interface katika zama hizi kume substitute mahitaji ya watumiaji wa mwisho.

Sasa wewe unaepinga ndo unambie ni kitu gani siwezi kufanya bila Graphical User Interface.
 
1).
Nina A.txt file yenye entries 125,000 lines. zinazoonyesha account information ya wateja wa Benki fulani, ninahitaji kubadirisha neno la tano ambalo ni account number kuwa la kisasa (New ID card Details inclusion into Account Number). Haya mabadiliko yanahitaji kuzingatia Branch na Account type ya mteja. A summary report pia itahitajika kuandaliwa kuhusu accounts zinazo'onekana kuwa "live"

Information nyingine zitakazotumika katika hayo mabadiliko zipo kwenye file B.txt (Branch) na C.txt (Account Types)

Environment: Unix/Linux


2).
Atm machines zinareporti huduma kwa wateja, hizi reports are in .csv format na kuifadhiwa kwa miezi sita kabla ya kuwa archived. Ninahitaji ku'trach transactions za acount number XYZ niweze kuriport ni wapi (Branch) hiyo debit card imetumika. Kwenye folder, kuna mafaili si chini ya 3.5Million kutoka branches 28 za benki. Mafaili pia yamewasilishwa kutoka Benki zote nchini na first browse ya mafaili yanaonekana kutotumia same format kwenye kila record.

Anza ndugu yangu basi kuchakachua hiyo kwenye GUI front end!!!

Andika approach utakayotumia...
 
Nategemea kujifunza linux hivi karibuni,kufanya installation na kujifunza command line...mwenye uzoefu naomba anielekeze yafuatayo:
  • Ni distribution gani na version gani rahisi kuanza nayo hasa kujifunzia command line na rahisi katika installation...
  • Natumia Sony VAIO,RAM 3GB yenye windows 7;nataka kuinstall linux bila kuondoa windows 7 ila SONY VAIO zinaletaga matatizo unapodilisha original os uliyonunulia...je kupandishia linux haitasumbua au nifanye ujanja upi...
  • Any tutorial references rahisi kufuatilia...
  • lolote ambalo unadhani ni muhimu kufahamu ....

Shukrani...

Pakua mambo hapa

You'll Also Work to Develop System Architecture
Work Hands-On with GNU and Unix commands, Learn About Linux File systems, and Much More! Plusget Complete Exam Coverage for Both the LX0-101 and LX0-102! Professional TrainingOver 13 Hours (13 Hours, 26 Minutes, 17 Seconds) of CompTIA Linux+ Training Videos Jam Packed on 2DVDs! Multiple File Formats Make it convenient for you to learn anywhere you go! iPod Video, Mp3 AudioWMV & high quality .AVI videoPDF of Instructor Notes allow you to follow along with the videos and take more organized notesInstant Access Online to the entire training course
Ingawa hiz video ni specific kwa ajili ya maandaliizi ya exam za linux inaweza kukusaidia atika command.
 
i guess im silent student in this thread, niko pamoja na LaCosa
 
Sasa wewe unaepinga ndo unambie ni kitu gani siwezi kufanya bila Graphical User Interface.

Sio tu kwenye inux Lakini hata kwenye Windows simple task ya Ku trace route ya packet za data zinapita wapi kutoka kwenye mashine yako hadi Tovuti au destination fulani ni command itakupa jibu sio GUI.

Soma traceroute. Labda na wewe sasa tuambie kama kuna drag-and-click option (GUI) ya hiyo trceroute tujue

Na ni huo ni mfano wa simple network troubeshoting/monitoring task.

Nyingine kama unataka kujua open/listeining ports kwenye mashine yako utafanyaje? Kuna command za netstat na nmap.
 
thanx guys....nime-install ubuntu 11.10.....dah mpaka unajiuliza hivi kwa nini bado tunatumia windows??(ila sijaitoa)...tayari nishamaster basics tasks za linux kutumia command line....nitanavigate kwa wiki kama mbili kwa kutumia commands tu mpaka zinikae fresh...i just want to move to another level of hacking na hii ni kitu muhimu kufahamu....shukrani..
 
Back
Top Bottom